Facial treatment / matibabu ya uso

Yan mm mwisho safar hii nahamia chimbo jipya Yan pale sunscreen had elf 10 my wangu laki unapata kilakitu full kuanzia face wash nineziona dermoviva face cleanser nitaanza kuchunguza ingredient tuhame vovi
kuna sunscreen hadi ya 3500 bhana 😂😂😂ni dr james sijui dr darvey
 
Huyu dda alitangaza tiba yake ya asili hapa jF, hii ni kiboko ya kila tatizo la ngozi, au kwa tiba au kwa urembo tu:

Bila kapicha uzi ni batili🤣👐
 
😂😂😂shida ni kwamba unaweza toa hela kubwa ukahidi unanunua Og kumbe unanunua feki kwa bei ya Og
Pharmacy at least inakuwa 85/100 tofauti na cosmetic shops
 
Kwanza kitu kikishakuwa whitening ni cha kukimbia bila kuangalia nyuma 🤣
sasa ndo product nying za Dr siitaki kabisa😂😂ngozi enyewe naibembeleza mnoo haina shukrani
 
Nashukuru mungu mi nikinunua baby care ya 2000 napaka na mtoto ukimuona huwezi amini kama napaka matope
 
Yan mm mwisho safar hii nahamia chimbo jipya Yan pale sunscreen had elf 10 my wangu laki unapata kilakitu full kuanzia face wash nineziona dermoviva face cleanser nitaanza kuchunguza ingredient tuhame vovi
Vovi wametuweza jamani🤣🤣
Ngoja hako ka vivo ketu kakiisha me naanza kutest ile clean and clear yenye salicylic
 
hapa nafumba macho nikafanye cabon laser mwisho wa mwezi darkspot ni nyingi sana 😂
 
hapa nafumba macho nikafanye cabon laser mwisho wa mwezi darkspot ni nyingi sana 😂
Usoni au?
mimi napataga vipele vya mp
Vikienda vinaenda bila kuacha madoa
Usiwe unabinya, ukibinya ndo vinaacha madoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…