Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Wewe kama mm aisee niliharibika sababu ya kubinya now nimeacha Yani sigusi Niko vizuri tu madoa ndo yamebaki nayo yanaishia ishiayes usoni 😂
yaan kitu nimeshindwa ni kuacha kubinya acne jamani naweza amka usiku wa manane niwashe taa nijiangalie kisha nijibinye yaani sijui nifanyeje
labda nihamie kwene supliments labda
Usibinye