Facial treatment / matibabu ya uso

Facial treatment / matibabu ya uso

Usoni au?
mimi napataga vipele vya mp
Vikienda vinaenda bila kuacha madoa
Usiwe unabinya, ukibinya ndo vinaacha madoa
yes usoni 😂

yaan kitu nimeshindwa ni kuacha kubinya acne jamani naweza amka usiku wa manane niwashe taa nijiangalie kisha nijibinye yaani sijui nifanyeje

labda nihamie kwene supliments labda
 
Kheee!! Unataka niambiaje mahi
Kuna sehemu ndiyo nimeshuhudia wanauza 80k.

Wale wanaouza 38-50k?
Itakua fake!!

Mie kuna lubri, nilinunua mikocheni 70k, eti kkoo kuna duka LA muarabu kuuliza n 30k, nilipoichek vzr nkaona ni fake tyuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
trust me mahi nilinunuaga ya 35k [emoji23][emoji23]alooo nikanunua ya 80k afu nikaja agiza kwao wenyewe sunscreen ya uso tu kadogo $39 ni tofauti na hizi tunazopewa huku nakwambia [emoji23][emoji23][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]shida ni kwamba unaweza toa hela kubwa ukahidi unanunua Og kumbe unanunua feki kwa bei ya Og
Ndo hapoo panachanganyaa kichwaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi sahivi si gari itakuwa imefika? 🤣🤣
Am so excited na vitu vya Claritha
Nina kimuhemuhe
Hahha hata kwenye kimfuko Cha miatano havijai😂😂😂
Ngoja nibandike nikurushe roho 🤣🤣🤣
 
Itakua fake!!

Mie kuna lubri, nilinunua mikocheni 70k, eti kkoo kuna duka LA muarabu kuuliza n 30k, nilipoichek vzr nkaona ni fake tyuu.
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Lubri unafanyia nn mamdogo aunt😂😂

Kuna sehem hiyo La Roche Possay ni 80
Subiri nikiokota pochi la mzungu niitest
 
Hahha hata kwenye kimfuko Cha miatano havijai😂😂😂
Ngoja nibandike nikurushe roho 🤣🤣🤣
😂😂😂 yan toka jana hujabandika?
Yoo me nitaweka usiku huu huu
Ngoja nifanye namna ya delivery
Gari sahivi itakuwa imefika
 
Usibinye bana 😂😂😂

Suppliments tumia ukifika huko 35+

yes usoni 😂

yaan kitu nimeshindwa ni kuacha kubinya acne jamani naweza amka usiku wa manane niwashe taa nijiangalie kisha nijibinye yaani sijui nifanyeje

labda nihamie kwene supliments labda
 
Back
Top Bottom