Facial treatment / matibabu ya uso

Facial treatment / matibabu ya uso

yes usoni 😂

yaan kitu nimeshindwa ni kuacha kubinya acne jamani naweza amka usiku wa manane niwashe taa nijiangalie kisha nijibinye yaani sijui nifanyeje

labda nihamie kwene supliments labda
Wewe kama mm aisee niliharibika sababu ya kubinya now nimeacha Yani sigusi Niko vizuri tu madoa ndo yamebaki nayo yanaishia ishia
Usibinye
 
Wewe kama mm aisee niliharibika sababu ya kubinya now nimeacha Yani sigusi Niko vizuri tu madoa ndo yamebaki nayo yanaishia ishia
Usibinye
ntajitahidi babe imagine ngozi inaglow huku una darkspot
 
naona si haba kuna changes labda ninunue full set
Si wana face wash za kutosha
Moistruizer
Retinol serum
Blemish control gel
Body lotion

Vikorokoro ni vingi
 
Si wana face wash za kutosha
Moistruizer
Retinol serum
Blemish control gel
Body lotion

Vikorokoro ni vingi
😂😂hela inauma mahiii nina face wash na moistruizer
 
Lubri unafanyia nn mamdogo aunt[emoji23][emoji23]

Kuna sehem hiyo La Roche Possay ni 80
Subiri nikiokota pochi la mzungu niitest
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lubrii si kujipaka mwilii mam mdogo!!

Bora utafute hiyo ya 80k, maana ukijichanganya utakutana na fake.
 
Hapo kwenye facial treatment sasa.Ngozi kavu unaitreat vip.Kuhusu lotion hapa nimestick kwenye potia m lotion,oil na serum.
 
Back
Top Bottom