Wewe kama mm aisee niliharibika sababu ya kubinya now nimeacha Yani sigusi Niko vizuri tu madoa ndo yamebaki nayo yanaishia ishiayes usoni π
yaan kitu nimeshindwa ni kuacha kubinya acne jamani naweza amka usiku wa manane niwashe taa nijiangalie kisha nijibinye yaani sijui nifanyeje
labda nihamie kwene supliments labda
Boda anafika soonHaha Ile face brush kiboko aisee ni nzuri
πππkwa kweliUsibinye bana πππ
Suppliments tumia ukifika huko 35+
naona si haba kuna changes labda ninunue full setZinakukubali?
ntajitahidi babe imagine ngozi inaglow huku una darkspotWewe kama mm aisee niliharibika sababu ya kubinya now nimeacha Yani sigusi Niko vizuri tu madoa ndo yamebaki nayo yanaishia ishia
Usibinye
Si wana face wash za kutoshanaona si haba kuna changes labda ninunue full set
ππhela inauma mahiii nina face wash na moistruizerSi wana face wash za kutosha
Moistruizer
Retinol serum
Blemish control gel
Body lotion
Vikorokoro ni vingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lubrii si kujipaka mwilii mam mdogo!!Lubri unafanyia nn mamdogo aunt[emoji23][emoji23]
Kuna sehem hiyo La Roche Possay ni 80
Subiri nikiokota pochi la mzungu niitest
Hivi unaweza Paka vyote, sunscreen na serum kwa wakati mmoja.?mionzi ya jua babe⦠inasaidia ngonzi isifubae na jua
ndio sunscreen ni ya mwisho kabisa baada ya kupaka kila kituHivi unaweza Paka vyote, sunscreen na serum kwa wakati mmoja.?
Nikija Mujini Daslamu namie unipelekemo nikasafishe hii mikubazi kwauso loπ€ !