FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

Ha ha ha haaaaaaaaa wizard

Na wewe unani quote kwa lipi wakati najua unavyoichukia serikali ya awamu hii haswa Raisi wetu na RC wa Dar!?

Mtanyooka tu

Hapa kazi tu
Nenda kafanyiwe maombi
shetani kakufunga akili na fikra kuna mtu kakutolea kafara ....wasapoti uvamizi vituo vya tv na redio na wasapoti utekaji nyara wa watu kwa selfish reasons..wasapoti watoa makafara, wasapoti wenye vyeti feki, wasapoti wenye kula deal na wauza madawa ya kulevya ...wasapoti waminyaji uhuru wa vyombo vya habari na demokrasia...wasapoti viongozi feki wa kudanganya watanzania na kutengeneza sinema chafu ili watanzania waogope ..
serious you need prayers...shetan anakuchezea atakavyo ndio mana wewe na wenzio wengine humu hamuoni yani mna macho lakini ni vipofu .....poor you nakuonea huruma wewe na wenzio.humu baadhi mko kwenye shimo reeefu na kutoka huko ni maombi tu ndio yatawaokoa ...
 
Siku chache zilizopita mwanamuziki maarufu wa miondoko yakufokafoka almaarufu Roma mkatoliki aliripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana katika studio za Tongwe record zinazomilikiwa na kijana jina maarufu (J mada),inasemekana ilikuwa ni majira ya usiku wavamisi walipowasili katika viunga vya ilipo studio hizo.

Kulingana na maelezo yaushaidi uliotolewa na shuhuda (the city) mwanadada aliyefika muda mchache kabla gari lawatekaji kuondoka alisema "ilikuja Noah nyeupe na wakashuka watu watatu,baada ya hapo wakatuamrisha mimi,bin Laden na wageni kutoka morogoro tuingie ndani ya geti,tulipoingia ndani ya geti walituuliza kwamba tumemkuta junior au tumemkuta Roma,tukasema junior hayupo ila Roma yupo ndani,wakatuamrisha Tukamuite Roma,tukamuita Roma,Roma akatoka akaulizwa wewe ndio ROMA na ilivyoonekana hawakumjua na pia walimuambia simu yake ipo wapi atokenayo Roma alitokanao sikuweza kujua nini kiliendelea kwa sababu waliongelea nnje ya gari,walirudi ndani wakamlazimisha binladen aingie studio akiwa amesindikizwa na mmoja wao na Wakarudi tena wakachukua TV zilizopo pale,wakatoka na imma walikuwepo wote ndani ya studio,studio ikabaki tupu,walivyotoka hapo wakaniambia mimi na wageni wengine waliotoka morogoro tusiende popote na nilichosikia baada ya hapo ni mshindo wa gari na gari kuondoka "

Fact:katika ushahidi wa shuhuda (the city) umejidadavua watekaji hawakuwa na haiba yautekaji kwani kiwango Chao cha ustaarabu kilikuwa juu sana ukilinganisha na watekaji wengine tunaowasikia na hata kuwashuhudia.
Hoja ya kwanza (1):watekaji waliuliza tumemkuta Roma na wakatuambia tukamuite?? Niajabu kwa mtekaji kuwa na nidhamu ya namna hii, mara nyingi hutumia nguvu kuhakikisha wanatimiza lengo Lao,mtekaji gani huyu anaogopa kuingia ndani anawaambia mashuhuda nendeni mkamuite Roma ??
Hoja ya pili (2):watekaji wakamuuliza Roma,wewe ndio Roma.sikawaida kwa msanii maarufu kama Roma ashindwe kujulikana tena na hawa watekaji ambao kwa asilimia kubwa huenda wakawa ni vijana,tena vijana hawa ndio wapenzi namba moja wa mziki huu wakufokafoka unaoimbwa na Roma ni wazi na sio rahisi kutokumfahamu Roma.
Hoja ya Tatu (3):watekaji wakaingia ndani na binladen,picha tunayoipata hapa bado watekaji walikuwa na ustaarabu napo hawakutaka kuingia studio wenyewe bado waliitaji mtu mwenyeji waingie nae ndani, wavamizi wengi hutumia nguvu na wakati mwingine huwa hawajali Mali ya waliodhamiria kumteka hawa waliomteka Roma watofauti sana.viashiria hivi vya ushahidi wa( the city)unatuonyesha wazi kunamaslahi binafsi yakisanà na wala siutekaji kama unavyoripotiwa..

Hoja ya 4.watekaji wakatuambia tusiondoke
.watekaji baada yakuwachukua wahusika wakuu waliwaamuru the city na wenzake wasiondoke hii inamaana bado walitaka kuhakikisha usalama wa studio unakuwa salama hivyo walionyesha kujali na kudhamini Mali na vifaa vinginee vya studio. hali isiyo ya kawaida mtekaji kuhakikisha ulizi wa Mali za mtekwaji.

Upande wa mmiliki wa Tongwe record :nae mmiliki wa Tongwe record aliskika akiongea akisema "usiku wa jana likitokea tukio lakutisha sana,walikuja watu ambao hawakufaamika wametoka wapi au wametumwa na nani,bahati nzuri mimi si kuwepo studio,wakamuhoji ROMA baada ya kumuhoji Roma wakamuhoji na monie ambaye ni msanii wangu pia kutoka Tongwe record baada yakumaliza mahojiano yao wakaingia ndani studio wakachukua TV, computer pamoja na kamera"

Maelezo ya mmiliki wa studio na shuhuda namba moja hayatofautiani sana bado yote yanaukakasi wa kiwango cha ustaarabu wa hawa watekaji.

Hoja watekaji walimuhoji ROMA.ni tanzania pekee watekaji hupata muda wakuhoji mtekwaji,sidhani kama inaingia akilini kuskia mtekaji anaweza kufanya interview na mtekwaji,nguvu na ubabe huwa hawana muda wa kuwa wakarimu na kuchukua maelezo mara zote watekaji hawana huo muda,ili lililotokea kwa Roma ni maigizo yenye maslahi binafsi.

Kauli ya mkuu wa mkoa mh.Paul makonda.mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa ni haki na wajibu wake kuhakikisha mkoa unakuwa salama pamoja na Raia wake,ni haki na sahihi mkuu wa mkoa kuingilia kati upotevu wa watu wake.

Mh.Makonda aliskika akisema
"bado tunayomamlaka yakudhibiti kila aina ya utekaji na kuhakikisha wanannchi wetu wanaendelea kuwa salama,sambamba na hilo nawapa imani tu haitafika jumapili tutakuwa tumeshawapata ndugu zetu wote wanne na mimi naomba kwa dini zetu kwa imani zetu kila mmoja kokote kule alipo aombe ili tuhakikishe ndugu zetu tunawarejesha wakiwa salama.

Kutokana na kauli ya mh Paul makonda imepelekea watanzania kijuiliza maswali kadhaa.

Hoja ya kwanza (1).
kauli ya haitafika jumapili Roma na wenzake watakuwa wamepatikana.Niwazi kauli hii ni Tata na ilikuwa na viashiria vya huenda kuna Jambo muheshimiwa alikuwa analifahamu zaid, tena ukizingatia huwa anaukaribu na vijana hawa wanaofanya sanaa,nikweli jumapili hajafika na vijana wamepatikana,mh ni kijana anajua mbinu nyingi za vijana wenzake wanazotumia kujipatia umaarufu nadhani alishashtukia na akatoa kauli iliyojipambanua kuna kitu anafahamu.

Hoja ya pili (2).kauli yakuwarejesha Roma na wenzake wakiwa salama nayo ni moja ya kauli iliyotolewa na mh mkuu wa mkoa tutawarejesha wakiwa salama kauli hii nayo iliashiria mchezo mzima huenda mkuu wa mkoa alikuwa anajua mahali alipo mkatoliki.

Uchambuzi wa kauli ya mhusika mkuu (Roma)
.Roma mara baada yakupatikana alipelekwa kituo cha Polisi ambapo naamini aliacha maelezo yakutosha.

Roma aliskika akisema " kutokana na mazingira na situation nzima hatutakuwa na muda mrefu wakuzungumza, kwakifupi tu niwaakikishie mimi ni mzima mpaka Sa hivi kiafya na kiakili hata monie,bin LadenI wote tuwazima wa afya,niwaakikishie sisi wote ni wazima tunaendelea vizuri"

Hoja ya kwanza (1)
.nifuraha kuskia wapo salama ila yapo maswali ya kujiuliza nini hasa lengo la watekaji je ni kweli watu hawa walitekwa? ni kweli mtekaji anaweza kuwateka wasipigwe hata vibao kimoja kiasi cha kuachiwa wakiwa 100% sawa bila jeraha na hata mkwaruzo wowote?

Hoja namba mbili (2).mavazi ya Roma siku anatekwa na siku anaonekana,siku anatekwa Roma aliripotiwa kuwa alikuwa amevaa t shirt nyeupe suruali ya blue aina ya Jinsi, ila siku anapatikana alionekana akiwa na mavazi meusi .Niwazi uko alikokuwepo alipata fursa ya kupata huduma muhimu kama kuoga na hata kubadilisha nguo bado kuna ulakini wa aina hii ya utekaji,sio rahisi kwa watekaji kuwa na moyo wa namna hii vijana wasanaa inaonekana walikuwa bado katika mwendelezo wa sanaa yao,haingii akilini aina hii yautekwaji kwakweli.

My take.tusishangae na kuskia nyimbo mpya ya Roma katika kipindi cha mwezi mmoja kutoka sasa,attention aliyokusudia kuipata amefanikiwa kwa 100% otherwise kesho siku ya jumatatu atuambie wa Tanzania hoja nzito kutuakikishia ni kweli alitekwa na sio kutafuta umaarufu kisanaa.
Kunywa kipapli[emoji122]
 
Kuna mijitu haijui hata kusoma body language wala psychology ya MTU

MTU anasema hana shida yuko vizuri wakati usoni unaona hofu na mateso ya hali ya juu

Hivi mlimuona Roma akiongea au mnakuja kubwabwaja tu hapa

Mke wake mlimuona alivyochizika?

Roma mlimuona alivyokuwa anashindwa kutembea kwa maumivu makali

Mungu tunaomba uchafu wote Wa viongozi wetu ukawekwe kweupe, tumalize hili tatizo LA uonevu once and for roll
 
Kwa vijana kama wewe tutegemee ví wonder muda si mrefu, hata kama ni mahaba lakini siyo kwa kiasi hiki.
Kwa hoja yako mkuu labda ukubaliwe na akina mama wa vijijini, lakini watu wanaojitambua hapa hutapenya hata chembe.
 
Hakuna kitu kibaya ' Kitaaluma ' kama kuandika taarifa ndefu halafu ni full of TITO and GIGO. Aliyekuambia kuwa ni lazima ' Watekaji ' wakija wavae vibaya vibaya na wawe na lugha isiyo na staha ni nani? Hivi ni kwanini Waswahili tunakuwa ' mijinga ' hivi? Hoja yako ni dhaifu mno na nadhani hata huko masomoni ulipokuwa ulikuwa ' unabashitika ' sana.
Hapo kwenye guo VP ?walibadilishaje nguo au waliondoka Na mabegi?
 
Mtekwaji baada ya kutoka Polisi hakuwa anaonekana ni Mtu anaefanana na Mtekwaji kwa tuliowahi kuona Mateka Live.

Sura ume settle haina msongo, hofu, Mchoko wala aina yoyote ya mateso au Mchoko lakin anazuga kwa kujifanya kuchechemea!

Kama Umesahau Igizo rejea la Kikombe cha Babu, wakat ule tuliwastua Watu walikuwa wanatuona Mafala
Hahahaha kikombe cha babu aliwachota wengi kweli kweli, na hii comedy ya roma iko hivyo hivyo maana alianza zito Kabwe, hahahaha hii series wala sio thriller bali ni comedy pasee
 
Mods msipochukua hatua za Haraka, Mtalipoteza Jukwaa letu. Jukwaa letu linakosa hadhi yake ya zamani.

Zile nondo za zamani, siku hizi hakuna kabisa. Watu wanajiandikia tu ili mradi aonekane kaandika Post. Hakuna Facts, Hakuna Source, Hakuna Reference.

Ushauri wangu kwa Mods, tunaomba mturudishie Hadhi ya Jukwaa letu.

Siku chache zilizopita mwanamuziki maarufu wa miondoko yakufokafoka almaarufu Roma mkatoliki aliripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana katika studio za Tongwe record zinazomilikiwa na kijana jina maarufu (J mada),inasemekana ilikuwa ni majira ya usiku wavamisi walipowasili katika viunga vya ilipo studio hizo.

Kulingana na maelezo yaushaidi uliotolewa na shuhuda (the city) mwanadada aliyefika muda mchache kabla gari lawatekaji kuondoka alisema "ilikuja Noah nyeupe na wakashuka watu watatu,baada ya hapo wakatuamrisha mimi,bin Laden na wageni kutoka morogoro tuingie ndani ya geti,tulipoingia ndani ya geti walituuliza kwamba tumemkuta junior au tumemkuta Roma,tukasema junior hayupo ila Roma yupo ndani,wakatuamrisha Tukamuite Roma,tukamuita Roma,Roma akatoka akaulizwa wewe ndio ROMA na ilivyoonekana hawakumjua na pia walimuambia simu yake ipo wapi atokenayo Roma alitokanao sikuweza kujua nini kiliendelea kwa sababu waliongelea nnje ya gari,walirudi ndani wakamlazimisha binladen aingie studio akiwa amesindikizwa na mmoja wao na Wakarudi tena wakachukua TV zilizopo pale,wakatoka na imma walikuwepo wote ndani ya studio,studio ikabaki tupu,walivyotoka hapo wakaniambia mimi na wageni wengine waliotoka morogoro tusiende popote na nilichosikia baada ya hapo ni mshindo wa gari na gari kuondoka "

Fact:katika ushahidi wa shuhuda (the city) umejidadavua watekaji hawakuwa na haiba yautekaji kwani kiwango Chao cha ustaarabu kilikuwa juu sana ukilinganisha na watekaji wengine tunaowasikia na hata kuwashuhudia.
Hoja ya kwanza (1):watekaji waliuliza tumemkuta Roma na wakatuambia tukamuite?? Niajabu kwa mtekaji kuwa na nidhamu ya namna hii, mara nyingi hutumia nguvu kuhakikisha wanatimiza lengo Lao,mtekaji gani huyu anaogopa kuingia ndani anawaambia mashuhuda nendeni mkamuite Roma ??
Hoja ya pili (2):watekaji wakamuuliza Roma,wewe ndio Roma.sikawaida kwa msanii maarufu kama Roma ashindwe kujulikana tena na hawa watekaji ambao kwa asilimia kubwa huenda wakawa ni vijana,tena vijana hawa ndio wapenzi namba moja wa mziki huu wakufokafoka unaoimbwa na Roma ni wazi na sio rahisi kutokumfahamu Roma.
Hoja ya Tatu (3):watekaji wakaingia ndani na binladen,picha tunayoipata hapa bado watekaji walikuwa na ustaarabu napo hawakutaka kuingia studio wenyewe bado waliitaji mtu mwenyeji waingie nae ndani, wavamizi wengi hutumia nguvu na wakati mwingine huwa hawajali Mali ya waliodhamiria kumteka hawa waliomteka Roma watofauti sana.viashiria hivi vya ushahidi wa( the city)unatuonyesha wazi kunamaslahi binafsi yakisanà na wala siutekaji kama unavyoripotiwa..

Hoja ya 4.watekaji wakatuambia tusiondoke
.watekaji baada yakuwachukua wahusika wakuu waliwaamuru the city na wenzake wasiondoke hii inamaana bado walitaka kuhakikisha usalama wa studio unakuwa salama hivyo walionyesha kujali na kudhamini Mali na vifaa vinginee vya studio. hali isiyo ya kawaida mtekaji kuhakikisha ulizi wa Mali za mtekwaji.

Upande wa mmiliki wa Tongwe record :nae mmiliki wa Tongwe record aliskika akiongea akisema "usiku wa jana likitokea tukio lakutisha sana,walikuja watu ambao hawakufaamika wametoka wapi au wametumwa na nani,bahati nzuri mimi si kuwepo studio,wakamuhoji ROMA baada ya kumuhoji Roma wakamuhoji na monie ambaye ni msanii wangu pia kutoka Tongwe record baada yakumaliza mahojiano yao wakaingia ndani studio wakachukua TV, computer pamoja na kamera"

Maelezo ya mmiliki wa studio na shuhuda namba moja hayatofautiani sana bado yote yanaukakasi wa kiwango cha ustaarabu wa hawa watekaji.

Hoja watekaji walimuhoji ROMA.ni tanzania pekee watekaji hupata muda wakuhoji mtekwaji,sidhani kama inaingia akilini kuskia mtekaji anaweza kufanya interview na mtekwaji,nguvu na ubabe huwa hawana muda wa kuwa wakarimu na kuchukua maelezo mara zote watekaji hawana huo muda,ili lililotokea kwa Roma ni maigizo yenye maslahi binafsi.

Kauli ya mkuu wa mkoa mh.Paul makonda.mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa ni haki na wajibu wake kuhakikisha mkoa unakuwa salama pamoja na Raia wake,ni haki na sahihi mkuu wa mkoa kuingilia kati upotevu wa watu wake.

Mh.Makonda aliskika akisema
"bado tunayomamlaka yakudhibiti kila aina ya utekaji na kuhakikisha wanannchi wetu wanaendelea kuwa salama,sambamba na hilo nawapa imani tu haitafika jumapili tutakuwa tumeshawapata ndugu zetu wote wanne na mimi naomba kwa dini zetu kwa imani zetu kila mmoja kokote kule alipo aombe ili tuhakikishe ndugu zetu tunawarejesha wakiwa salama.

Kutokana na kauli ya mh Paul makonda imepelekea watanzania kijuiliza maswali kadhaa.

Hoja ya kwanza (1).
kauli ya haitafika jumapili Roma na wenzake watakuwa wamepatikana.Niwazi kauli hii ni Tata na ilikuwa na viashiria vya huenda kuna Jambo muheshimiwa alikuwa analifahamu zaid, tena ukizingatia huwa anaukaribu na vijana hawa wanaofanya sanaa,nikweli jumapili hajafika na vijana wamepatikana,mh ni kijana anajua mbinu nyingi za vijana wenzake wanazotumia kujipatia umaarufu nadhani alishashtukia na akatoa kauli iliyojipambanua kuna kitu anafahamu.

Hoja ya pili (2).kauli yakuwarejesha Roma na wenzake wakiwa salama nayo ni moja ya kauli iliyotolewa na mh mkuu wa mkoa tutawarejesha wakiwa salama kauli hii nayo iliashiria mchezo mzima huenda mkuu wa mkoa alikuwa anajua mahali alipo mkatoliki.

Uchambuzi wa kauli ya mhusika mkuu (Roma)
.Roma mara baada yakupatikana alipelekwa kituo cha Polisi ambapo naamini aliacha maelezo yakutosha.

Roma aliskika akisema " kutokana na mazingira na situation nzima hatutakuwa na muda mrefu wakuzungumza, kwakifupi tu niwaakikishie mimi ni mzima mpaka Sa hivi kiafya na kiakili hata monie,bin LadenI wote tuwazima wa afya,niwaakikishie sisi wote ni wazima tunaendelea vizuri"

Hoja ya kwanza (1)
.nifuraha kuskia wapo salama ila yapo maswali ya kujiuliza nini hasa lengo la watekaji je ni kweli watu hawa walitekwa? ni kweli mtekaji anaweza kuwateka wasipigwe hata vibao kimoja kiasi cha kuachiwa wakiwa 100% sawa bila jeraha na hata mkwaruzo wowote?

Hoja namba mbili (2).mavazi ya Roma siku anatekwa na siku anaonekana,siku anatekwa Roma aliripotiwa kuwa alikuwa amevaa t shirt nyeupe suruali ya blue aina ya Jinsi, ila siku anapatikana alionekana akiwa na mavazi meusi .Niwazi uko alikokuwepo alipata fursa ya kupata huduma muhimu kama kuoga na hata kubadilisha nguo bado kuna ulakini wa aina hii ya utekaji,sio rahisi kwa watekaji kuwa na moyo wa namna hii vijana wasanaa inaonekana walikuwa bado katika mwendelezo wa sanaa yao,haingii akilini aina hii yautekwaji kwakweli.

My take.tusishangae na kuskia nyimbo mpya ya Roma katika kipindi cha mwezi mmoja kutoka sasa,attention aliyokusudia kuipata amefanikiwa kwa 100% otherwise kesho siku ya jumatatu atuambie wa Tanzania hoja nzito kutuakikishia ni kweli alitekwa na sio kutafuta umaarufu kisanaa.
 
Hata mm nashangazwa na aina ya utekeja si kawaida watekaji kuchukua mda mrefu kiasi hicho lakini angalia kipengele cha kuchukua tv et Roma aliingia ndan na mtekaji mmoja huku wengine wakibaki nje kitu ambacho c kawaida kwan watekaji nao huogopa kudhurika hivyo hawawez kuruhusu mtu mmoja aende ndan pekee yake lakin pia swala la kutomjua Roma c sahihi mana wateka huenda kuteka wakiwa na picha sahihi ya anayetaka kutekwa ili wasifanye makosa na kumteka mtu mwingine
 
Swali langu Mkuu wa Mkoa ananufaika nini kwa kupanga utekaji huu ? Najaribu kuona faida zake sipati unaweza labda kunisaidia hapo? Yaani kama kweli alishiriki kumteka ili nini?
 
Hp aliyesema watapatikana kabla ya jpili mi namshukuru wamepatikana la muhm aseme amewapataje ht kabla jpili yenyewe haijafkaaa?!
 
Roma kama amesema ataongea na media kesho Nina Imani hiyo press conference haitakuwepo.
 
Wewe kweli ni pimbi, mtekaji amekuja, ili akupate bila wasiwasi atamtumia MTU anaekufahamu ili akupate kwa unahisi, kitendo cha kutumiwa MTU anaekujua hata kama ni mgeni tambua lazima hakiwezi kukupa taarifa, pia hata kama wangeingia wenyewe tambua ile ni ofisi na inapokea wateja aina tofauti wherever know kuwa kuna appointment au hakuna, kabla hujsongea utumbo wako hakikisha hujanywa mtori usijekutuharishia hapa
 
Umechambua vizuri, binafsi nilijiuliza (kwa maelezo ya waliohojiwa pale studio) unaendaje kumteka mtu humjui?
Lakini siku zote napenda version za story kutoka pande zote, hivyo siwezi kuhitimisha kwa fast check yako tuu, tusubiri Roma mwenyewe atasema nini na vyombo vya usalama vitatoa taarifa gani.
 
Kaka huyo jamaa amezoea kuangalia movie za zombie na Bongo Movie..hana analojua kuhusu ujasusi na umafiaso. Msamehe tu ndio Great Thinker hao wapi likizo

Kuna ' Mijitu ' mingine huwa ' inakera ' mno humu Mkuu.
 
Back
Top Bottom