cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
kuhu
kuhusu MAVAZI, tumeambiwa watekaji waliwarudisha akina Roma saa 9 usiku hapo walipo wachukua, baadaye ndio wakapelekwa Ostabay police, yawezekana mda huo ndio Roma kabadilisha mavazi
Kwa studio ni nyumba yake ya pili na ana kabati lake!?
Huko Oysterbay police, nani aliwapeleka? Baada ya kuda gani toka wamerudishwa!? Yaani kuna mengi
Hiyo ya kurudishwa saa 9 nami nimeipata jana, wengine tunasubiri zaidi yaongelewe.