FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

Haaaa. Yaani wewe mleta uzi umetumwa na nani kuleta uongo humu? Kawaaminishe bashite wenzako wewe. Inaonekana umejiunga Leo ili kupooza maneno!! Kwani watekaji unataka waje na bunduki ndo uamini? None sense
Matendo haya ya kishenzi yanafanywa na mkulu mwenyewe akishiriana na litoto lake jambazi lililokubuhu libashite
 
Mtekwaji baada ya kutoka Polisi hakuwa anaonekana ni Mtu anaefanana na Mtekwaji kwa tuliowahi kuona Mateka Live.

Sura ume settle haina msongo, hofu, Mchoko wala aina yoyote ya mateso au Mchoko lakin anazuga kwa kujifanya kuchechemea!

Kama Umesahau Igizo rejea la Kikombe cha Babu, wakat ule tuliwastua Watu walikuwa wanatuona Mafala
Matendo haya ya kishenzi yanafanywa na mkulu mwenyewe akishiriana na litoto lake jambazi lililokubuhu libashite
 
Kwa hiyo baada ya kujiteka, akawasiliana na Bashite kuwa kabla ya Jumapili atapatikana!
 
Roma jana angefunguka japo kwa uchache tungepata ukweli halisi,,,,ila kwasasa yote yanawezekana, ,inawezekana kuna mchezo umechezwa ,,,ili tusiamini ivyo inabidi kesho aweke wazi KILA kitu,,,,tofauti na hapo atadharauliwa sana
Matendo haya ya kishenzi yanafanywa na mkulu mwenyewe akishiriana na litoto lake jambazi lililokubuhu libashite
 
Hii aina ya muandiko nahisi ni yule mkurugenzi wa shihata ya zamani siku hizi wanaita nini sijui wapo pale mbele bank house nae ni PhD holder ya pumba zile za miaka miwili kama baba Bashite
Matendo haya ya kishenzi yanafanywa na mkulu mwenyewe akishiriana na litoto lake jambazi lililokubuhu libashite
 
Back
Top Bottom