Fact Checking: Rais Magufuli hukumteua Masilingi kuwa Balozi Marekani baada ya kumaliza Ubunge wa Muleba

Unamuwaza malisa eh?
 
Lakini si wanaona wananchi ni wadanganyika? Acha wapige uongo washangiliwe wapewe na kura waende kula.
 
..huyu mzee ni muongo tangu akiwa waziri.

..tatizo waTz mlikuwa hamchunguzi kauli zake.
 
Safi! Hii ndo aliyokua anasema Lissu....Magufuli akabiliwe kila kona. Yan hata akipumua tu watokee watu wa kumkana aurudishe ndani, akabiliwe kwelikweli.
 
Kama huelewi taratibu za uteuzi ni bora ukakaa kimya!
Ni kweli, manake Rais mpya anapoingia madarakani basically appointment zote zinakuaga VOID ili kumruhusu aunde kikosi KAZI chake, baadhi uwa ana retain na wengine anawapotezea, so angeweza kumwambia arejee Tanzania but akamteua kuendelea na muda ulipoisha akamteua tena.
 
 
Labda Rais akitoka madarakani na mabalozi nao wanatoka ubalozini, hiyo ni kulingana na uelewa finyu wa Meko kwenye eneo zima la Uraia na maadili.
Actually that is the case...Rais mpya anapoingia madarakani teuzi zote zinakua void ili kumpa fursa ya kuunda kikosi KAZI chake..mwenye ufinyu katka hili sio Magufuli..
 
Muone huruma Meko anatafuta sympathy from the audience.
Ni vema na maandishi ' nasema kweli, kweli ya Mungu' yasinukuliwe tena, na yafutwe kila yaliponukuliwa. Na yote haya ni kwa sababu wagombea hawatumii muda kunadi sera na ilani za uchaguzi wa vyama vyao. Magufuli kutwa TBC anaeleza historia kwa takwimu fake na ahadi bandia, Lisu anaelezea madhaifu ya tawala zilizopita na uliopo kana kwamba watu hawajui.
 

Nani kakwambia hilo?
Hujui kuwa uraisi ni taasisi?

Hujui kuwa rais anaweza akateua mtu asubuhi, akamwapisha mchana kisha usiku akafa then madaraka ya rais yakashikwa na mtu mwingine kesho yake. Unafikiri akiingia raisi mwingine teuzi zoooote zilizopita zinakuwa Void?

Ofisi ya Rais ni taasisi, watu wanaokalia ofisi hiyo hubadilia lakini ofisi huendelea kuwepo
 
Hivi unazijua vizuri KAZI za Balozi?, Je watambua kwamba Rais ni Taasisi lakini Taasisi sio Rais?
 
Pascal ndugu kuna nafasi zinakoma baada ya raisi aliyepo madarakani kuondoka. Ubalozi sio ila raisi mpya ana madaraka ya kukuita urudi kama hatapendezwa na were. Kwenye barua ya appointment unaandikiwa unatakiwa kuingia kituoni link na kutoka lini. Alichoweza kufanya mheshimiwa ni kutomrecall na kumwongezea mkataba. Hivyo initial hakumchagua yeye. Alichaguliwa na mtangulizi wake
 
Uongo
 
Kama unamsikiliza Lissu vizuri huwa anaeleza hali iliyopita, ilivyo sasa na yeye atafanya nini akichaguliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…