sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Mwanasesere ndio baibuda ndio genre ya bongofleva.Kwani dully si kawakuta Kaka zake kitambo tu??na yeye alikua ansema yeye anaimba style yake inaitwa Mwanasesere??
Pole boss,hilo jina bongofleva lilikuepo kabla ya dully,shout out kwa Mike mhagamaMwanasesere ndio baibuda ndio genre ya bongofleva.
Hunter Umefichwa Wapi We Bishoo.BONGO FLEVA IMEANZA 2000? No
Asante for the recordHistoria ya muziki wa kizazi kipya na chimbuko la neno Bongo Fleva
Disclaimer:imesimuliwa na Martin Izze Chimbuko la muziki wa kizazi kipya tanzania na maana halisi neno Bongo Flava (SEHEMU YA KWANZA) Moja kati ya mambo niyapendayo mno maishani ni muziki.Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa muziki si tu ule wa nje lakini kwa karibu ule wa nyumbani hasa muziki...www.jamiiforums.com
nipo mafichoni aisee na shemeji yako😁Hunter Umefichwa Wapi We Bishoo.
nipo mafichoni aisee na shemeji yako[emoji16]
Uhakika over 3.5Hapo Kweli, Tuwakilishe Vyema Huko Hunter.
Ambayo waimbaji wake ni nani?Pole boss,hilo jina bongofleva lilikuepo kabla ya dully,shout out kwa Mike mhagama
Zamani hakukua na bongo flavor, Miziki ilikua inatofautishwa kabisa Taarab, Hip hop, R&B etc. Nakumbuka bongo flavor imeanza Enzi za kina Proffesor Jay, Juma Nature, inspector Haroun etc. Wakati Ule kina Hadija kopa na Nasma Hamis kidogo wapo on Top taarabu, Inspector anaimba sijui rap cartoon kukaanza mesh, unakuta Inspector kamshirikisha Nasma, hapo ndio vikaanza vijembe wasanii wanaitwa Wabana Pua.Kwani dully si kawakuta Kaka zake kitambo tu??na yeye alikua ansema yeye anaimba style yake inaitwa Mwanasesere??
kina BDP walianza kuBongoFleva (rejea Rudi Mpenzi ) tangu miaka ya 1994 huko, Dully kaanza mwishoni mwa 1998 kisha uanzilishi uende kwake ?
Pole bossZamani hakukua na bongo flavor, Miziki ilikua inatofautishwa kabisa Taarab, Hip hop, R&B etc. Nakumbuka bongo flavor imeanza Enzi za kina Proffesor Jay, Juma Nature, inspector Haroun etc. Wakati Ule kina Hadija kopa na Nasma Hamis kidogo wapo on Top taarabu, Inspector anaimba sijui rap cartoon kukaanza mesh, unakuta Inspector kamshirikisha Nasma, hapo ndio vikaanza vijembe wasanii wanaitwa Wabana Pua.
Hawa Wabana pua ndio waanzilishi wa Bongo flavor, sina Uhakika kama Dully Sykes ni wa kwanza kabisa ila ni katika kundi la mwanzo kabisa la wasanii wa bongo flavor.
1994 Hakukuwa na bongo flavor leta ushahidikina BDP walianza kuBongoFleva (rejea Rudi Mpenzi ) tangu miaka ya 1994 huko, Dully kaanza mwishoni mwa 1998 kisha uanzilishi uende kwake ?
unawajua BDP ? unaujua wimbo wao wa Rudi Mpenzi ?1994 Hakukuwa na bongo flavor leta ushahidi