Fact: Prince Dully Sykes ndio muanzilishi wa muziki wa bongofleva

Fact: Prince Dully Sykes ndio muanzilishi wa muziki wa bongofleva

kina BDP walianza kuBongoFleva (rejea Rudi Mpenzi ) tangu miaka ya 1994 huko, Dully kaanza mwishoni mwa 1998 kisha uanzilishi uende kwake ?
Rudi mpenzi ni wimbo wa ragamaffin alafu umetoka miaka ya 2000 sio 1994. Rekebisha facts zako then tujadili kuhusu bongofleva.
 
Nimeweka link fungua,nyimbo ya mawingu band imerekodiwa mwaka 1992..inaitwa siamini ambayo TID ka sample
Sikiliza tena hio nyimbo, ni R&B, hatubishani watu kuimba tunabishana kuzaliwa Bongo flavor aka Wabana pua.
 
Back
Top Bottom