Fact: Prince Dully Sykes ndio muanzilishi wa muziki wa bongofleva

Fact: Prince Dully Sykes ndio muanzilishi wa muziki wa bongofleva

Ahsante kwa kunitoa akili, kwanza naomba kuufahamu tafadhari. Naomba nikukumbushe ewe kizazi cha manifongo. Huo muziki wenu hapo kabla uliitwa "kigodoro" baadae ukaitwa "kiduku" na sasa hivi mnauita singeli. Mnanda hapo kabla uliitwa mchiriku. Aliyeunzisha huu muziki wa kibongo bongo "bongo fleva" ni SALEHE JABIRI, jina la kwanza kabisa alilolianzisha ni SWAHILI RAP, hiyo ni miaka ya 88, 89, 90, 91 mpk 92,
Sasa yeye miaka y 99 huko ndy anazaliwa sinza pazuri

Ova
 
Wameimba nyimbo zipi?
Bila wao mziki wenu huo msingeusikia redioni
Wao ndiyo walikuwa wanapush kupiga mziki redioni
Kwa hiyo wote hao wanamchango mkubwa...
Au unafikiri mziki wa bongo redioni
Ilijipiga yenyewe.....
Ntakubaliana na we labda ukisema dully aliongeza na kubadilisha ladha ya mziki hapo sawa....na namna msanii alivyokuwa anajiweka kimavazi+usafi

Ova
 
Mfupa wa Dully sykes mzuri nyiee...hazeeki aisee toka tupo shule anaimba tunacheza miziki yake sanaa..ila ukimwona leo ni kama juzi..
 
Back
Top Bottom