baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Umecopy Wikipedia story feki ukaweka humu, Hip hop haijawahi asilani kuwa Bongo flavor danganyeni watoto wa juzi.Boss sisi hiyo bongofleva hatujasikia kwa watu,tumeishi humo...
Mimi kama mtu nilieshi huo muda ama mtafute mtu yoyote humu ambaye anaelewa history ya mwisho wa 90 mwanzo wa 2000s, mtu wa hip hop asilani alikataa kuitwa Bongo Flavor, kulikua na Hip hop ya kina sugu, R&B ya kina Mr Paul na wenzie na kukaja Bongo Flavor.
Wakati huo Bongo Flavor ilikuwa na Exclusive kwa Wabana pua.