baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Umecopy Wikipedia story feki ukaweka humu, Hip hop haijawahi asilani kuwa Bongo flavor danganyeni watoto wa juzi.Boss sisi hiyo bongofleva hatujasikia kwa watu,tumeishi humo...
Unaijua vizuri sana bongofleva.Umecopy Wikipedia story feki ukaweka humu, Hip hop haijawahi asilani kuwa Bongo flavor danganyeni watoto wa juzi.
Mimi kama mtu nilieshi huo muda ama mtafute mtu yoyote humu ambaye anaelewa history ya mwisho wa 90 mwanzo wa 2000s, mtu wa hip hop asilani alikataa kuitwa Bongo Flavor, kulikua na Hip hop ya kina sugu, R&B ya kina Mr Paul na wenzie na kukaja Bongo Flavor.
Wakati huo Bongo Flavor ilikuwa na Exclusive kwa Wabana pua.
Baada ya kusoma kichwa Cha habari, nilitarajia ndani utakuwa umeweka maelezo yanayoonesha ni kwanini unasema Dully ndio muasisi.View attachment 2921186
Watu wengi hawajui historia ya muziki wa bongofleva na hawajui umeanzia wapi.
Fact ni kwamba muasisi wa muziki wa bongofleva ni Prince Dully Sykes aka Mr Misifa.
Sound hii unayoiskia leo ya bongofleva (baibuda) ilianzia kwa Dully.
Kwa wasio na ufahamu, bongofleva ni muziki wa kizazi kipya uliozaliwa Dar es Salaam miaka ya 2000 ukiwa na mchanganyiko wa radha ya mwambao, midundo ya zouk, rhumba, dancehall na chakachaka. Na muasisi wake ni Dully Sykes.
Ni vema hizi facts zikawekwa sawa sababu ya kulinda historia ya bongofleva.
Pia usichanganywe muziki wa bongofleva na aina zingine kama hiphop,reggae, sokousss, RnB, jazz nk
Asanteni!
Sijasema kama Dully ni msanii wa Mwanzo kabisa, huyo ni mtoa mada, point yangu ni kwamba hip hop za 90s hazikua bongo flavor, bongo flavor ilikuja baadae baada ya mziki wa kubana pua kuanza.Sawa baba mwa j Ila album ya Kwanza ya dully historia ya kweli imetoka mwaka 2003
Umecopy Wikipedia story feki ukaweka humu, Hip hop haijawahi asilani kuwa Bongo flavor danganyeni watoto wa juzi.
Mimi kama mtu nilieshi huo muda ama mtafute mtu yoyote humu ambaye anaelewa history ya mwisho wa 90 mwanzo wa 2000s, mtu wa hip hop asilani alikataa kuitwa Bongo Flavor, kulikua na Hip hop ya kina sugu, R&B ya kina Mr Paul na wenzie na kukaja Bongo Flavor.
Wakati huo Bongo Flavor ilikuwa na Exclusive kwa Wabana pu
Nimeuliza,Kati ya daz nundaz na dully Nani alianza kutoka??Sijasema kama Dully ni msanii wa Mwanzo kabisa, huyo ni mtoa mada, point yangu ni kwamba hip hop za 90s hazikua bongo flavor, bongo flavor ilikuja baadae baada ya mziki wa kubana pua kuanza.
My point is it doesnt matter kama ni Dully, Daz Nunda, ama msanii mwengine inawezekana mmoja kamzidi mwenzake mwaka ama miaka 2, ila Bongo flavor imeanzishwa na wao na sio hao wa kongwe wa 90.Nimeuliza,Kati ya daz nundaz na dully Nani alianza kutoka??
Point yangu ilikua ni Kama dully ndio muanzilishi,na daz ndio wameanza kutoka,wakina ferouz walikua wanaimba aina gani ya mziki???..My point is it doesnt matter kama ni Dully, Daz Nunda, ama msanii mwengine inawezekana mmoja kamzidi mwenzake mwaka ama miaka 2, ila Bongo flavor imeanzishwa na wao na sio hao wa kongwe wa 90.
Atleast Ferouz na Daz baba ni Bongo fleva.Point yangu ilikua ni Kama dully ndio muanzilishi,na daz ndio wameanza kutoka,wakina ferouz walikua wanaimba aina gani ya mziki???..
Kama umeelewa point yangu karibu...Atleast Ferouz na Daz baba ni Bongo fleva.
Alianza kutoka Dully Sykes, Daz Nundaz walikuja baadae.Nimeuliza,Kati ya daz nundaz na dully Nani alianza kutoka??
Hii ngoma ilikuwa kali sana kipindi hicho
Radha = ladha. Huu ujinga kawaambie watoto wenzako.View attachment 2921186
Watu wengi hawajui historia ya muziki wa bongofleva na hawajui umeanzia wapi.
Fact ni kwamba muasisi wa muziki wa bongofleva ni Prince Dully Sykes aka Mr Misifa.
Sound hii unayoiskia leo ya bongofleva (baibuda) ilianzia kwa Dully.
Kwa wasio na ufahamu, bongofleva ni muziki wa kizazi kipya uliozaliwa Dar es Salaam miaka ya 2000 ukiwa na mchanganyiko wa radha ya mwambao, midundo ya zouk, rhumba, dancehall na chakachaka. Na muasisi wake ni Dully Sykes.
Ni vema hizi facts zikawekwa sawa sababu ya kulinda historia ya bongofleva.
Pia usichanganywe muziki wa bongofleva na aina zingine kama hiphop,reggae, sokousss, RnB, jazz nk
Asanteni!
Wakati huo walikuwepo wakina nigaz 2 public ndani,wagumu weusi asilia,dar young mob sugu ndani, wakina mak muga, kwqnza unitUmecopy Wikipedia story feki ukaweka humu, Hip hop haijawahi asilani kuwa Bongo flavor danganyeni watoto wa juzi.
Mimi kama mtu nilieshi huo muda ama mtafute mtu yoyote humu ambaye anaelewa history ya mwisho wa 90 mwanzo wa 2000s, mtu wa hip hop asilani alikataa kuitwa Bongo Flavor, kulikua na Hip hop ya kina sugu, R&B ya kina Mr Paul na wenzie na kukaja Bongo Flavor.
Wakati huo Bongo Flavor ilikuwa na Exclusive kwa Wabana pua.
Huyu mtoto wa 2000 Ana vurugu sanaRadha = ladha. Huu ujinga kawaambie watoto wenzako.