Fact: Prince Dully Sykes ndio muanzilishi wa muziki wa bongofleva

Sasa yeye miaka y 99 huko ndy anazaliwa sinza pazuri

Ova
 
Wameimba nyimbo zipi?
Bila wao mziki wenu huo msingeusikia redioni
Wao ndiyo walikuwa wanapush kupiga mziki redioni
Kwa hiyo wote hao wanamchango mkubwa...
Au unafikiri mziki wa bongo redioni
Ilijipiga yenyewe.....
Ntakubaliana na we labda ukisema dully aliongeza na kubadilisha ladha ya mziki hapo sawa....na namna msanii alivyokuwa anajiweka kimavazi+usafi

Ova
 
Mfupa wa Dully sykes mzuri nyiee...hazeeki aisee toka tupo shule anaimba tunacheza miziki yake sanaa..ila ukimwona leo ni kama juzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…