Neno Mpagani, Mmataifa, na Kafiri ni matusi yakumtukanisha mwafrika, hao waiziraeli wako walikubagua wakasema Mungu wa Ibrahimu ni mali yao, wakakuita wewe mmataifa, ukristo ulipofika ulaya wewe mtu mweusi uliyeungua wakakuita mpagani, kwa sababu hukubaliana na itikadi yao (Ukristo), waarabu walipoanzisha dini wakakutukana na kukuita kafiri
MPAGANI
MMATAIFA ni maneno yaliyo ndani ya bibilia yako, maneno ya kibaguzi, wakati Mungu SUPER NATURAL POWER sio mbaguzi (nguvu ya asili), isome vyema bibilia yako, Bibilia ni kitabu kilichoandikw na wayahudi waliokuwa wakijenga taifa lao, Mungu huyu wa IBRAHIM, ISAKA NA YAKOBO ana kiri kuwapo miungu wenye hadhi km yake, wakati wana wa Izirieli wakiwa jangwani akiwaasa wasiwafuate MIUNGU MINGINE kwa sababu MIUNGU WENGNE WALIGOMA KUMSAIDIA MUNGU WA IBRAHIMU kuwaondoa wana wa iziraeli kutoka Misiri, inawezekana kugoma kwa Miungu wengine kumsaidia Mungu wa Ibrahimu kuwatoa wana wa iziraeli kutoka utumwani, huenda MUNGU WA IBRAHIMU alikuwa JEURI.
neno MMATAIFA, MPAGANI NA KAFIRI ni maneno ya matusi yenye asili ya Babeli, nchi ya asili ya Semitics ambayo ni nchi asili ya waarabu na wayahudi, historia inasema watu hawa asili yao ni jeuri, tangu awali na bado wanauendeleza, waiziraeli walipokuwa wanauda taifa lao walichukua maneno mazuri na mabaya wakaweka pamoja wakadai yote ni ya Mungu, ukisoma bibilia imeandikwa hivi usipotoa ZAKA na SADAKA utalaaniwa, nakuuliza nani anaye mtegemea mwenzake? MUNGU AU BINADAMU