FACTS 11: Kama wanasayansi wangesoma BIBLIA, Technology ya sasa ingekuwa Zamani Sana

FACTS 11: Kama wanasayansi wangesoma BIBLIA, Technology ya sasa ingekuwa Zamani Sana

Hayo maoni yake wewe mwanafunzi mjadiliane nae kwanza na mje na ushahidi ili mjibiwe. Mimi nikisema wewe ni kada wa cdm ndani ya ccm. Huwezi kufanya surface conclusion kizembe namna hiyo hadi nije na ushahidi wa anachokisema.
Japokuwa pono sio sayansi na hapa inajadiliwa bibilia na sayansi mama
Hahahahahaaaaaa....

Mkuu huyu mama akija kufafanua kama ulivyomtaka afafanue niite na mimi nije nishuhudie maana itakuwa ni jambo jipya kabisa amelifanya......
 
Hayo maoni yake wewe mwanafunzi mjadiliane nae kwanza na mje na ushahidi ili mjibiwe. Mimi nikisema wewe ni kada wa cdm ndani ya ccm. Siwezi kufanya surface conclusion kizembe namna hiyo hadi nije na ushahidi wa ninachokisema ma.
Japokuwa pono sio sayansi na hapa inajadiliwa bibilia na sayansi mama

Unakimbia? Umejuwa hapo hukwepi.

Anasema biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?

Wewe likimbie hilo lakini nnakuhakikishia utarudi tu, hujamjuwa FaizaFoxy bado.

Maana bado sijaanza kukuchambuwa mada yako ya kudanganya watu. Nilikuanzia kidogo huko juu ukakwepa, nnakuhakikishia mimi na wewe humu mpaka kieleweke.

Msikilize mkristo mwenzako anasemaje: ” WHICH IS THE MOST DANGEROUS BOOK ON EARTH ? ” – PART 1
 
Hahahahahaaaaaa....

Mkuu huyu mama akija kufafanua kama ulivyomtaka afafanue niite na mimi nije nishuhudie maana itakuwa ni jambo jipya kabisa amelifanya......

Wewe unanikumbuka sana nnavyokugaragaza humu, na kuhusu huyo mwenzako nisome juu hapo, nimeshamjibu. Saidianeni wote, mimi nipo, kwa mada hii hamchomoki humu.
 
Unatoa wapi ujasili wa kuongea haya wakati Biblia yenyewe hujui the real source yake zaidi ya kuletewa na wazungu/missionaries.
Ebu haya mambo tuyaache cha msingi tutende yaliyomema ili dunia iwe sehemu salama kwa viumbe wote
 
Hahahahahaaaaaa....

Mkuu huyu mama akija kufafanua kama ulivyomtaka afafanue niite na mimi nije nishuhudie maana itakuwa ni jambo jipya kabisa amelifanya......

Mwenzako kalikimbia hili swali, msaidie:

Biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?
 
Mwenzako kalikimbia hili swali, msaidie:

Biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?

Onyesha iyo pornography au laa sivyo wewe utakuwa mfuga majini na mapepo
 
Onyesha iyo pornography au laa sivyo wewe utakuwa mfuga majini na mapepo

Kwanza unajuwa maana ya "pornography"? Haya ungana na wenzako mjibu kwanza swali hapo juu.

Nnakuongezea, tena si "pornography pekee" mpaka incest imo humo kwenye Biblia, unajuwa maana ya "incest"?
 
Wanasayansi wangekuwa wanasoma biblia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unajua unaweza ukaongea kitu halafu huelewi unaongelea nini

Najiuliza wanaosoma biblia siyo wanasayansi?

Na kama biblia haisomwi na wanasayansi na ina mambo ya kisayansi je hawa wanasayansi waliyajuaje wayagunduayo ?

Je hawa wanasayansi uliowatoa kwenye kundi la wasioijua biblia unawapa nguvu gani ukilinganisha na wale wanaosoma na hawakutengeneza kitu kulingana na biblia ?

Je hawa wanasayansi waliletwa na nani ?(viumbe waliotokana na nani)

Acheni kumkufuru Mungu

Uumbaji na ugunduzi wote ni kazi yake
 
Unakimbia? Umejuwa hapo hukwepi.

Anasema biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?

Wewe likimbie hilo lakini nnakuhakikishia utarudi tu, hujamjuwa FaizaFoxy bado.

Maana bado sijaanza kukuchambuwa mada yako ya kudanganya watu. Nilikuanzia kidogo huko juu ukakwepa, nnakuhakikishia mimi na wewe humu mpaka kieleweke.

Msikilize mkristo mwenzako anasemaje: ” WHICH IS THE MOST DANGEROUS BOOK ON EARTH ? ” – PART 1
usipanic . haya maelezo ndio pornographic au.
mimi sisimami na wenzangu ila mimi na bibilia so hiyo sentesi inaniondolea uhalali wa kumsikiliza unaemuita mwenzangu. mimi nakusikiliza na kukujibu wew sio mtu mwingine ambae yuko nje ya mjadala . maana hadi sasa umeshaniletea watu zaidi ya wanne sijui maana yake nini wewe hujui unachotaka au
 
Kwanza unajuwa maana ya "pornography"? Haya ungana na wenzako mjibu kwanza swali hapo juu.

Nnakuongezea, tena si "pornography pekee" mpaka incest imo humo kwenye Biblia, unajuwa maana ya "incest"?
maana unayotaka ni ipi maana hata kwenye cyber crime act hawajadefine maana ya ponography hivyo wewe ndio utueleze na source pia .
incest ni kitu kinachojulikana sio maarifa ya siri ya kujivunia. sema unataka nini au huelewi nini kuhusu ruthu au adam walizaaje tueleze ili ibaki kwako kuchagua kuamini au kupuuzia.
 
usipanic . haya maelezo ndio pornographic au.
mimi sisimami na wenzangu ila mimi na bibilia so hiyo sentesi inaniondolea uhalali wa kumsikiliza unaemuita mwenzangu. mimi nakusikiliza na kukujibu wew sio mtu mwingine ambae yuko nje ya mjadala . maana hadi sasa umeshaniletea watu zaidi ya wanne sijui maana yake nini wewe hujui unachotaka au

Wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Nimekuletea watu, nnakujuaje hata nikuletee watu.

Jibu swali: Anasema biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?

Hulikwepi hilo, na huku nnakuongezea mengine kama hapo juu.

Jee, umemuona Mkristo mwenzio ambae ni maarufu dunia nzima, hapo zamanai hadi leo hii, George Bernard Shaw, kasema nini kuhusu biblia? Kama ngumu kwako kujibu, kasema "The most dangerous book on earth (Bible)".

Unajuwa kwanini? Kwa ajili ya hizo "pornography" na "incest" hata kitabu cha ngono hakina mambo machafu kama yaliyomo humo.
 
maana unayotaka ni ipi maana hata kwenye cyber crime act hawajadefine maana ya ponography hivyo wewe ndio utueleze na source pia .
incest ni kitu kinachojulikana sio maarifa ya siri ya kujivunia. sema unataka nini au huelewi nini kuhusu ruthu au adam walizaaje tueleze ili ibaki kwako kuchagua kuamini au kupuuzia.

Toka lini cyber act crime ndiyo ikawa tafsiri ya yaliyomo kwenye biblia?

Kama si upunguani huo ni nini?
 
Unachanganya mambo hapo mkuu kinyume cha uongo sio Nzuri. Kuna uongo na ukweli na pia kuna mazuri na mabaya. Bibilia haina uongo yote ni kweli. Ila ndani ya bibilia Kuna mabaya na mazuri. Mabaya ili tuyaone na kujifunza na kuyaacha yasijekututotokea na sisi mazuri ili yatufanye kuwa bora zaidi. Hujaeleweka kwenye hii comment unataka kusema nini
unapotuhumiwa huwezi kuwa shahidi kwa kesi yako
 
Science was the result of discovery of God's creative work. Kama utakutana na mwanasayansi aliyeamini uwepo wa Mungu hata kwa definition tofauti kama Einstein utaelewa tunajadili nini. Yote yalianza baada ya watu kuuliza nature maswali na kukutana na majibu makubwa na uvumbuzi usio wa kawaida. Hata wanasayansi wapagani na waandishi walifanya hicho hicho ila hawakuelewa who was the author of what they saw. Kamuulize corpenicus, galileo, Mendel, newton, Boyle, Charles, pascal na wengine wengi Marconi wote ni mazao ya biblical exploration and acknowledgment of God's creative power. Dhumuni hapa ni kumbe hili zoezi lingefanyika zamani basi hata hiyo smartphone yako ingekuwepo kipindi cha yesu maana miaka elfu mbili kbla yake Mungu ameshaelezea kuhusu Radio wave and electromagnetic transmission in a spectacular way when he was responding to the claims of Job. Na hivyo vitabu vya zamani hata yesu alikuwa anavisoma na wayahudi japo interest yao haikuwa huko. Ndio maana ujuzi alioutoa Yusufu Misri alioupata kutoka kwa Mungu na wakadesign maghara yaliyotunza nataka miaka Saba jamaa mmoja huko kibbutz israel ametengeneza kitu kama hicho hicho akiwa powered na what happened in Egypt during seven years of famine and ideas of Joseph. Kwa ufupi sio tu unapata ndani ya bibilia scientific ideas lkn mambo mengi sana ambayo yanaweza kubadili na kuokoa jamii yako.
hivi mpagani maana yake nini? nambie plz
 
Lalamiko Lako kubwa ni kuwa ndani ya Ramani ya biblia Uz haipo. Kwa hiyo scope ya tuhuma na malalamiko yako ni bibilia yenyewe na mimi nilizingatia hilo. Huko kwingine kwenye Quran au Veda watakuja wenyewe wakusaidie. Ila Mimi naamini bibilia ni kitabu pekee duniani kinachoomba wasomaji wake wakihoji uhalali wake na Mungu kupita bibilia Isaya 46:9,10 anakutaka uchunguze mambo ambayo amesema yatakuwa na yamekuwa, na bibilia ndio inayojibambanua kuwa Chanzo au orgin of everything. Hakuna kitabu chochote cha dini au madhehebu kinachotoa mwaliko wa kuprove validity yake hata nje ya maandiko yake.
kwanini wajapani na wachina wameendelea ili hali hawafuati Mungu wa bibilia yako kwanini?
 
Wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Nimekuletea watu, nnakujuaje hata nikuletee watu.

Jibu swali: Anasema biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?

Hulikwepi hilo, na huku nnakuongezea mengine kama hapo juu.

Jee, umemuona Mkristo mwenzio ambae ni maarufu dunia nzima, hapo zamanai hadi leo hii, George Bernard Shaw, kasema nini kuhusu biblia? Kama ngumu kwako kujibu, kasema "The most dangerous book on earth (Bible)".

Unajuwa kwanini? Kwa ajili ya hizo "pornography" na "incest" hata kitabu cha ngono hakina mambo machafu kama yaliyomo humo.
Ubora wa ukristo haupimwi kwa umaarufu duniani, wala haikuhitaji kuwa maarufu ili unachokisema kikubalike.
Kama wewe huna cha kusema hadi utafute maoni ya watu wengine bora ubaki kuwa msomaji mama.

Jibu swali: Anasema biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?

Sasa hapo unauliza nini. Yaani mtu aseme kitu kwa utashi wake alafu mimi uniambie nikubali au ni katae.
Unaniaungusha mama. Weka wanaposema hayo ndio uniulize sio maoni ya mwalimu wako hivi hii mijadala huwa mnajadili vipi.
Pia nimekuomba acha kusema Wanasema, Mkristo mashuhuli anasema, Shehe wetu anasema, Ata shetani alisema Mungu kasema Mkila TUnda Hamtakufa hakika watai Mungu alisema Mtakufa hakika. Acha wao waseme wanavyotaka ninachotaka Useme wewe au wewe brain yako iko likizo huwezi kujisimamia.
Soma bibilia kwa akili yako leta hicho kinachokusumbua tuchambue pumba na mchele. Mbona huwa unaelewa mapema leo kumetokea nini mama
 
Toka lini cyber act crime ndiyo ikawa tafsiri ya yaliyomo kwenye biblia?

Kama si upunguani huo ni nini?
Asante sana. Naomba uweke kinachokusumbua au ulichojifunza kwa hao waalimu wako au watu mashuhuri unaowaamini duniani naona kama unazunguka tu kwenye surface, Sema shida yako ni nini na wapi sio flani kasema eti A,B,C sasa Mseza Mkulu wewe Unasemaje. Mimi nitakwambia Muulize yeye aliyesema

Maana ya Ponography,
Ponography imeandikwa wapi
ponography ipi au Child ponogtraphy au ponograpy ya aina gani kwa maana gani
Wakina nani walishiriki hiyo Ponography
Kwa manufaa ya nani au nini
Yaani sikuelewi ndugu sema vizuri
 
MSEZA MKULU

“THE MOST DANGEROUS BOOK ON EARTH “(the Bible),

KEEP IT UNDER LOCK AND KEY.” Keep the

Bible out of your children’s reach.

Why did George Bernard Shaw called the

Bible the most dangerous book on the

Earth !!!?

” WHICH IS THE MOST DANGEROUS BOOK ON EARTH ? ” – PART 1
Sikuelewi hapa wewe unataka kusema nini. Maana aliyesema kasema kwa utashi wake.
Wewe unasemaje kwani au wewe bila hao rafiki zako hauna cha kusema maana sijui hata nijibu nini na nimjibu nani maana inaonekana hilo tatizo sio lako ni la alieandika hayo maoni juu ya bibilia na hayupo hapa. Wewe Rudi kwa tunachojadili Nimeweka vitu vingi sana pale kwenye thread badala yake umeanza kunikusanyia matatizo ya watu na kutaka niwasaidie wasiokuwepo. Ina maana wewe huta chochote cha kuhoji juu ya niliyoandika hadi ukaangaike na CUT/PASTE za maoni ya watu tena vitu haviendani na mada.
 
Back
Top Bottom