Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Hahahahahaaaaaa....Hayo maoni yake wewe mwanafunzi mjadiliane nae kwanza na mje na ushahidi ili mjibiwe. Mimi nikisema wewe ni kada wa cdm ndani ya ccm. Huwezi kufanya surface conclusion kizembe namna hiyo hadi nije na ushahidi wa anachokisema.
Japokuwa pono sio sayansi na hapa inajadiliwa bibilia na sayansi mama
Mkuu huyu mama akija kufafanua kama ulivyomtaka afafanue niite na mimi nije nishuhudie maana itakuwa ni jambo jipya kabisa amelifanya......
