MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
- Thread starter
-
- #261
kwani hii ni case mkuu, umtuhumu mji uliomo kwenye bibilia haupo kwenye ramani ya bibilia hiyohiyo ili ujustfy kutokuwepo kwa mji huo. Bibilia hiyohiyo imekujibu sio tu mji bali hata UZ mwenyewe yupo ndani ya biblical geneology kesi za nini tena.unapotuhumiwa huwezi kuwa shahidi kwa kesi yako
bibilia haiwezi toa majibu wakati ndio inayotuhumiwakwani hii ni case mkuu, umtuhumu mji uliomo kwenye bibilia haupo kwenye ramani ya bibilia hiyohiyo ili ujustfy kutokuwepo kwa mji huo. Bibilia hiyohiyo imekujibu sio tu mji bali hata UZ mwenyewe yupo ndani ya biblical geneology kesi za nini tena.
Pagan - a person holding religious beliefs other than those of the main world religions(Islam, christianity, hinduism, judaism, budha). Hii ni tafsiri ya awali ila ukienda ndani zaidi utakuta kwa wakristo mtu yoyote asieamini katika bibilia na mambo yake, au kwa waislam mtu yoyote asiyeamini katika imani yao ingawa wao wanajina lao tofauti.hivi mpagani maana yake nini? nambie plz
Huku ni kwingine tena unaenda.kwanini wajapani na wachina wameendelea ili hali hawafuati Mungu wa bibilia yako kwanini?
Ndio maana mkuu ungejua hilo usingesema mji wa UZ haumo kwenye bibilia ili kujustfy maoni yako kuwa kitabu cha ayubu ni cha kutungwa kwa evidence ya Ramani iliyomo kwenye bibilia. Hapo lazima hakimu aruhusu bibilia maana mtuhumu anatumia bibilia hiyohiyo kutuhumubibilia haiwezi toa majibu wakati ndio inayotuhumiwa
kwako ww upagani nini?Pagan - a person holding religious beliefs other than those of the main world religions(Islam, christianity, hinduism, judaism, budha). Hii ni tafsiri ya awali ila ukienda ndani zaidi utakuta kwa wakristo mtu yoyote asieamini katika bibilia na mambo yake, au kwa waislam mtu yoyote asiyeamini katika imani yao ingawa wao wanajina lao tofauti.
Maana ya mpagani ni pana hili suala hata wewe unaweza kufuatilia na kung'amua kile ambacho wewe utaona kinakufaa
sijajua matiki na unachokitaka kutoka kwangu. ungeweka lengo wazi kwanza ndio nipate uwazi mkubwa wa kukufahamisha maoni yangu unayohitaji na sio lazima yafanane na kikundi flani cha watu au jumuia ya kidini.kwako ww upagani nini?
nimekupa, lkn hujajibu swali langu hao wajapani na wachina wameyapataje hayo wakati hawamwamini huyo mungu wako, je ni Mungu Ibrahimu ndiye aliyewapa? au ni Mungu mwingine?Huku ni kwingine tena unaenda.
Wajapani waliendelea siku Iwakura Tomomi waziri mkuu alipoondoka japani na meli pamoja na Top officials wake waliokwenda eastern europe na kujifunza mambo ambayo walikuja kuyapractice kwao na kusababishwa wawe na nguvu ya kuteka nchi zote kuanzia ufilipino korea hadi china. China iliendelea baada ya Deng Xioping Kuja na Sera ya Reform and Opening up badala ya Cultural revolution ya mao iliyoua watu zaidi ya Mil40.
Kama wanadamu wameumbwa na Mungu na Akili timamu bado hata bila dini waliweza kutumia akili yao kuyatawala mazingira hata kabla ya kufanyika kilichoelezwa hapo juu maana walikitoa Ulaya.
Sioni wala sijui unataka nini.
Mungu wa Bibilia anajihusisha na kila mwanadamu uwe humuamini au unamuamini unamtaka au humtaki. Ndio maana hata kwenye bibilia alimteua Koreshi awe mfalme wa Medo-persia miaka mingi hata kabla hajazaliwa japo walikuwa hawana uhusiano wowote na yeye.
God has Complex ways to excute his wills and plans mkuu.
aaaaah mbona wakwepa? nimekuuliza na nakuuliza tena upagani nini maana yake?sijajua matiki na unachokitaka kutoka kwangu. ungeweka lengo wazi kwanza ndio nipate uwazi mkubwa wa kukufahamisha maoni yangu unayohitaji na sio lazima yafanane na kikundi flani cha watu au jumuia ya kidini.
Lakini ukumbuke anayeamini Mungu hayupo sio mpagani, Kwa bibilia anatambulishwa kama Mpumbavu (Mbumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu Zaburi 14:1)
hii mada mfu, hivi wewe unaweza kujitolea ushahidi kotini? km ipo koti itakayo kubali mtuhumiwa kujitolea ushahidi basi hiyo koti ni ya wendawazimuNdio maana mkuu ungejua hilo usingesema mji wa UZ haumo kwenye bibilia ili kujustfy maoni yako kuwa kitabu cha ayubu ni cha kutungwa kwa evidence ya Ramani iliyomo kwenye bibilia. Hapo lazima hakimu aruhusu bibilia maana mtuhumu anatumia bibilia hiyohiyo kutuhumu
Mpagani ukiniuliza mimi ninaamini kulingana na Bibilia inavyotaka niamini.aaaaah mbona wakwepa? nimekuuliza na nakuuliza tena upagani nini maana yake?
km hujui maana usipotoshe umma,
kubali tu ulikosea kuuliza au kuipa changamoto bibilia kwa kutoa reference kwenye bibilia hiyohiyo kujusfy tuhuma zako. mwenye uhalali wa kusema hayo sio wewe bali ni icemanD ambaye hajaihusisha bibilia kwenye kujengea hiy0 tuhuma yakehii mada mfu, hivi wewe unaweza kujitolea ushahidi kotini? km ipo koti itakayo kubali mtuhumiwa kujitolea ushahidi basi hiyo koti ni ya wendawazimu
Neno Mpagani, Mmataifa, na Kafiri ni matusi yakumtukanisha mwafrika, hao waiziraeli wako walikubagua wakasema Mungu wa Ibrahimu ni mali yao, wakakuita wewe mmataifa, ukristo ulipofika ulaya wewe mtu mweusi uliyeungua wakakuita mpagani, kwa sababu hukubaliana na itikadi yao (Ukristo), waarabu walipoanzisha dini wakakutukana na kukuita kafiriMpagani ukiniuliza mimi ninaamini kulingana na Bibilia inavyotaka niamini.
Kwanza Paganism =watu wenye miungu mingi.
Ila mimi naamini ni Mtu yoyote asiyeamini Katika Mungu kama anavyotambulishwa kwenye bibilia, na anaamini vitu vingine mfano akili zake, sanamu, mali, na anapaswa kufahamishwa ili achague au akatae kwa utashi wake mwenyewe.
Kwa ufupi Warumi 2:13;nimekupa, lkn hujajibu swali langu hao wajapani na wachina wameyapataje hayo wakati hawamwamini huyo mungu wako, je ni Mungu Ibrahimu ndiye aliyewapa? au ni Mungu mwingine?
HUO NI UPUUZI Taifa la Mungu ni mtu yeyote yule anayetenda mema,Kwa ufupi Warumi 2:13;
Mungu atawahukumu watu wote kwa kadili ya mwanga mdogo walionao na Mungu anajishughulisha sio tu na hawa wajapani unaodhani ni special sana bali hadi Wasandawe wanaokula mizizi.Nao kwao wanamabaya yao na mazuri yao na wana haki zao na kuvunja wa haki kwa uwelewa wao huo mdogo kuhusu Mungu. Hakuna wa kukwepa.
Mifano ipo Mingi tu katika bibilia.
1:Matendo, Centurion aliyekuwa hamjui Mungu wala bibilia lakini alihisi kuna kitu kama hicho akawa anatoa sadaka na kusali Mungu akamsikia na Kumtuma mtu amuelekeze nini chakufanya.
2:Mungu aliteua taifa dogo la izrael kama sample ndogo ili baadae watumke kusambaa dunia nzima kumuelezea badala yake wengine walikataa hadi leo na Baadhi walimkubali Na kusambaa kueneza Ujumbe kama Paulo na wengine, Na leo hizi habari zimefika kila kona ya dunia kwa ukamilifu au uhafifu wake lakin hakuna excuse ila ukikataa kataa at your own risk
Mwenzangu nani?Mwenzako kalikimbia hili swali, msaidie:
Biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?
naona umeamua sasa kuleta stori za kwenye vijiwe vya kahawa. Huko huwa tunasukuma muda tu chief.Neno Mpagani, Mmataifa, na Kafiri ni matusi yakumtukanisha mwafrika, hao waiziraeli wako walikubagua wakasema Mungu wa Ibrahimu ni mali yao, wakakuita wewe mmataifa, ukristo ulipofika ulaya wewe mtu mweusi uliyeungua wakakuita mpagani, kwa sababu hukubaliana na itikadi yao (Ukristo), waarabu walipoanzisha dini wakakutukana na kukuita kafiri
MPAGANI
MMATAIFA ni maneno yaliyo ndani ya bibilia yako, maneno ya kibaguzi, wakati Mungu SUPER NATURAL POWER sio mbaguzi (nguvu ya asili), isome vyema bibilia yako, Bibilia ni kitabu kilichoandikw na wayahudi waliokuwa wakijenga taifa lao, Mungu huyu wa IBRAHIM, ISAKA NA YAKOBO ana kiri kuwapo miungu wenye hadhi km yake, wakati wana wa Izirieli wakiwa jangwani akiwaasa wasiwafuate MIUNGU MINGINE kwa sababu MIUNGU WENGNE WALIGOMA KUMSAIDIA MUNGU WA IBRAHIMU kuwaondoa wana wa iziraeli kutoka Misiri, inawezekana kugoma kwa Miungu wengine kumsaidia Mungu wa Ibrahimu kuwatoa wana wa iziraeli kutoka utumwani, huenda MUNGU WA IBRAHIMU alikuwa JEURI.
neno MMATAIFA, MPAGANI NA KAFIRI ni maneno ya matusi yenye asili ya Babeli, nchi ya asili ya Semitics ambayo ni nchi asili ya waarabu na wayahudi, historia inasema watu hawa asili yao ni jeuri, tangu awali na bado wanauendeleza, waiziraeli walipokuwa wanauda taifa lao walichukua maneno mazuri na mabaya wakaweka pamoja wakadai yote ni ya Mungu, ukisoma bibilia imeandikwa hivi usipotoa ZAKA na SADAKA utalaaniwa, nakuuliza nani anaye mtegemea mwenzake? MUNGU AU BINADAMU
mkuu maadam anarukaruka tu haeleweki anataka nini. Anataka kujitenga na taarifa zake ili zikifeli abaki safe. Tatizo yeye kila kitu mashindano.Mwenzangu nani?
Tangu umeanza kujipigia hili shairi na kucheza mwenyewe sijaona mahali uliposema "hizi ponography zilizoko kwenye Biblia hizi hapa" naona unaendelea tu kujitekenya hapa...
Weka unachodhani kipo ndani ya Biblia tukichambue hapa acha porojo....
Madam anataka sisi tumtajie anachokifikiria yeye,hii ni ajabu sana..mkuu maadam anarukaruka tu haeleweki anataka nini. Anataka kujitenga na taarifa zake ili zikiferi abaki safe. Tatizo yeye kila kitu mashindano.
Mkuu wa anga ameshika ufahamu wake ukumbuke Kristo alipokuwa akimjibu mmoja wa wanafunzi wake ya kwamba kwa nini alisema nao wengine kwa mafumbo, inawezekana kabisa hajajaliwa kuzijuwa siri za mbinguni! Ndio kisa amekuwa mbishi sio kosa lake,Nilikushauri na ninakushauri tena kwa mara nyingine,haya mambo rudi kajifunze upya maana naona kabisa bado hujayajua ipaswayo kufikia kuanza ku argue na watu kwenye furum kama hapa....
Elimu ya Paul ilikuwa kubwa sana na hili hulijui,na inawezekana hakuna binadamu mwenye elimu kama ya Paul leo,unayakimbilia haya mambo na kuyapinga sijui kwanini,nakuona una jambo moyoni mwako linalokufanya uchukie sana dini kitu ambacho siyo kizuri kabisa....
Suala kama la Paul tu linakufanya uonekane hujui kabisa unachokijadili...
Niliwahi kukuambia kwamba unapaswa utofautishe dini na wanadini,mwanadini akiiba au kuua haimaanishi dini inaruhusu jambo hilo.Biblia inazungumza kuhusu dunia kuwa duara halafu wewe unajenga hoja kuwa wanadini walimshutumu na kumuona Galileo anampinga Mungu,ni wanadini gani hao?Ni Mungu gani unamzungumzia hapa?
Hata kama ni wa-Kristo walikuwa wakimpinga,huoni kwamba wanakwenda kinyume na kitabu kinachowaongoza maana kimesema dunia ni duara? Kwanini usiwalaumu wao kutokuelewa kinachoelezwa kwenye kitabu chao?
Nini kinakufanya ufunge kabisa ubongo wako kiasi hiki?