Chungu cha bibi
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 525
- 166
Tuombe vita za kirafiki may be tutapanda viwango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuombe vita za kirafiki may be tutapanda viwango
hatuna silaha kabisa yaonekana
Wote hao aliowataja wanaigwaya Tanzania, Yeriko naya anapiga siasa tu hana loloteUongo huu, Jeshi letu haliwezi kuzidiwa na Jeshi la Nigeria.
Nigeria wanaoshindwa na Boko Haram nao wapo juu kijeshi!
Tanzania haijashinda waasi wowote ndiyo maana ipo ya mwisho! Sasa Nigeria imeshinda waasi gani mpaka ishike namba ya juu?tanzania imeshinda waasi gani? na kwambia usiombe tanzania watokeee waasi tutajuta hakuna jeshi humu siasa kila kona imejaa tutakufa mpaka basi
Umeona eeeeh! Hata South Africa ambayo ndiyo ina jeshi imara barani Africa haijawa ya kwanza! Inashangaza sana hiiKama Nigeria ni ya 5, basi tusiwe na hofu kwa Tanzania kuwa ya mwisho. Hii listi haijapangwa na kocha, imepangwa na mashabiki.