Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huu ni Uongo kabisa..
South Sudan,
Somalia
Nigeria
Majeshi yao yakiboya sana..
tuwekee ukweli mkuu , tumzodoe mleta uzi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni Uongo kabisa..
South Sudan,
Somalia
Nigeria
Majeshi yao yakiboya sana..
Umeona ee..badala ya watu kujadili na kuainisha mapungufu ya ripoti wao wanadhani Yericko ndiye aliyeiandaa ripoti, Mungu tusaidie angalau utupandishie IQ.Tanzania ina watu wanauelewa mdogo sana yeriko yeye kaleta utafiti uliofanywa na wewe leta was kwako. Miaka 5 ijayo Tanzania itakuwa na wajinga wengi sana, mungu wasaidie
tuwekee ukweli mkuu , tumzodoe mleta uzi .
Na mianzi..inasikitisha sana , yaani umahiri wetu upo kwenye kuvunja matofali ya cement chapa NYATI tu !
Mkuu kujua uwezo wa nchi kijeshi sio lazima uione inapigana, SA hajapigana lakini hatuwezi kuizidi kijeshi.Kwani we unalipimaje Jeshi la Tanzania na la Nigeria?
Mpaka Mataifa Yapigane? Haya basi, sisi tuliposhambuliwa na Amin tulimuondoa kwa uwezo mkubwa
Nigeria Kampiga nani?
Mkuu kujua uwezo wa nchi kijeshi sio lazima uione inapigana, SA hajapigana lakini hatuwezi kuizidi kijeshi.
Nivigumu siasa kuongoa mambo ya kitaalamu, hili hata wahenga walilinena, wakati wenzetu wakijenga mataifa yao kijeshi na kiulinzi yakawa imara na ya kisiasa zaidi, sisi tunaendelea kuonyeshana namna mwanajeshi anavyopasua tofari kwa kichwa, yani utafiki ni jeshi la enzi za akina Mkwawa.
Wakati wa miaka ya sitini mpaka miaka ya tisini, Tamzania ilikuwa ya kwanza barani Afrika kwakuwa na idara ya ujasusi imara ikifuatiwa na Zimbabwe, lakini leo Zimbabwe ni ya kwanza ikifuatiwa na Misri na Tanzania ni ya Tatu.
Hali kadhlika baada ya vita vya Uganda, Tanzania ilipanda kwenye viwango vya ubora na uimara wa kijeshi hasa sifa zikienda kwa kikosi cha ardhini kile kilichopambana na majeshi ya Nduli katika uwanda wenye maji ya kiuno kwa mda wa siku sita mfululizo mpaka kikashinda kikiongozwa na Brigedia Mwita Marwa ambae baada ya mapambano yale alibatizwa na kuitwa KAMBARE, jina hilo lilifuati uwezo wake wa kuzama mda mrefu majini huku akiji mapigo vikosi vya Nduli vilivyokuwa vimejichimbia mlimani katika mto Kagera,
Sifa hizi zilieneoa duniani kote na tafiti nyingi za mashirika ya kijasusi zikafanywa nakusema Tanzania ni nchi ya kwanza Barani Afrika kwakuwa na Jeshi imara la miguu,
Hivi sasa siasa zimeharibu sifa hizo na utafiti wa wakala wa usalam wa taifa wa Amerika umeweka takwimu hizi hapa mpya ambao Tanzania ni ya mwisho kati ya nchi 22 zilizofanyiwa utafiti.
ORODHA KAMILI.
1 Egypt
PwrIndx: 0.6122
2 Algeria
PwrIndx: 1.1698
3 Ethiopia
PwrIndx: 1.3229
4 South Africa
PwrIndx: 1.3467
5 Nigeria
PwrIndx: 1.5261
6 Kenya
PwrIndx: 1.7689
7 Morocco
PwrIndx: 1.8499
8 Tunisia
PwrIndx: 1.8635
9 Angola
PwrIndx: 2.2599
10 Libya
PwrIndx: 2.3353
11 Sudan
PwrIndx: 2.3465
12 Democratic Republic of the Congo
PwrIndx: 2.6642
13 Uganda
PwrIndx: 2.6895
14 South Sudan
PwrIndx: 2.7689
15 Ghana
PwrIndx: 2.9726
16 Zimbabwe
PwrIndx: 3.0955
17 Cameroon
PwrIndx: 3.3009
18 Zambia
PwrIndx: 3.5013
19 Somalia
PwrIndx: 3.5462
20 Mozambique
PwrIndx: 4.1026
21 Madagascar
PwrIndx: 4.2547
22 Tanzania
PwrIndx: 4.3423
Chanzo: Countries Ranked by Military Strength (2014)[/
Hii listi imepangwa na wanyarwanda nini??
Mbona nafsi inakataabkukubaliana na takwimu hizo!
nchi 11 kwenye list hii watu wake wanafundishwa hapa nchini.....
Kaka ukana mimi nipo pamoja na wewe,Yericko ni mmoja wale watu ambao uchambuzi wao unaongozwa na itikadi zao.mimi nimeangalia hii web siku nyingi tuuinaitwa www.africaranking.com vigezo walivyotumia ni wingi wa vifaru,ndege,idadi ya askari na defence budget, sasa wewe unajeshi kubwa kama kenya alafu unashindwa kuwashika watu watano ambao wapo kwenye closed space kwa siku tatu hii ni sawa na mtu anayejisifu ana mtoto mkubwa kuliko mwenzie wakati mtoto mwenyewe taahira na mwenzie mdogo lakini IQ yake ni kubwa balaa.tuache kudharau vyetu akuna tulichojaribu kijeshi tukashindwa.MKUU YERIKO Nakukubali mno,kwa hili nipo kinyume.
NB.Opesesheni ya Kumuondoa Mohamedi Bakari Commoro ilisemekana ni impossible Tz iliomba logistic tu,ikapata ikaenda na yule bwana aliondoka alfajiri na majeshi yetu yakamvalisha dila na mtandio,wakamwambia aende kwa amani.
- Kenya wanasumbuliwa na al shabaab,wakenya wanauwawa na vijikundi vya kigaidi vidogo dogo.wangekuwa na intelgensia imara na jeshi imara,wasingesumbuliwa.kenya hajawahi kufanya mission yoyote ya kijeshi kama vile ukombozi wa kusini mwa Afrika nyakati zile,wana well equiped army,wanakosa displined army,wanakosa experienced army.
- Kongo hawana jipya,kabla aliingiliwa ikulu karibu auawawe miaka miwaili iliyopita,anasumbuliwa na vikundi vya waasi,M23 TZ chini ya mwavuli wa UNO waliwapa kipigo cha paka mwizi,na biashara yao ikaisha.Kongo angekuwa na inelgensia imara na jeshi imara angekuwamaliza vikundi vya waasi mwenyewe.Jizi tu Mheshimiwa Rais Kikwete alifunga mafunzo ya maafisa wa Jeshi,wengi walikuwa toka Kongo.
- Uganda zaidi ya miongo miwili anasumbuliwa na Joseph Kony,kijikundi tu kidogo ambacho kikitokea tanzania wanagongwa toka kwenye pori walilojificha na kesho tunahesabu Mizoga tu.angekuwa na jeshi imara asingesumbuliwa namna hiyo.
Ukombozi wa nchi za kusini Mchango wa Tanzania,Sudani na nyingine nyingi.Nasikitika Yeriko kuwa mimi ni shabiki mkubwa na mwanachama wa CHADEMA,inapokuja issue ya kitaifa hasa jeshi mimi naliheshimu sana,unaandika hapo kwa sababu nchi ina amani kwa sababu ya jeshi letu unalolitusi,bora ungezungumzia jeshi la polisi kuliko JWTZ jeshi letu lililotukuka.
EAST AFRICA EAGLE naomba uje umpe shule Yeriko Nyerere na mods wapeleke uzi huu Jamii forum Intelgensia ambako kuna watu hawingii huku jukwaa la siasa,ili ajibiwe kwa weledi wa hali ya juu!
Kwa kumalizia wewe na mimi labda hatujui sawasawa kuhusu jeshi letu.Nashauri Ngome wamchukue Yeriko nyererer wakamhoji Pale Ngome upanga kwa nini analitusi jeshi letu tukufu.
Nmesikitishwa sana na ndugu Yeriko nyerere.
Ukana Shilungo.
Kaka ukana mimi nipo pamoja na wewe,Yericko ni mmoja wale watu ambao uchambuzi wao unaongozwa na itikadi zao.mimi nimeangalia hii web siku nyingi tuuinaitwa www.africaranking.com vigezo walivyotumia ni wingi wa vifaru,ndege,idadi ya askari na defence budget, sasa wewe unajeshi kubwa kama kenya alafu unashindwa kuwashika watu watano ambao wapo kwenye closed space kwa siku tatu hii ni sawa na mtu anayejisifu ana mtoto mkubwa kuliko mwenzie wakati mtoto mwenyewe taahira na mwenzie mdogo lakini IQ yake ni kubwa balaa.tuache kudharau vyetu akuna tulichojaribu kijeshi tukashindwa.
Lakini kaka kitu kingine yericko ni mwandishi mzuri tuu wa essay ambazo zina mpangilio mzuri lakini hazina uzito wowte katika uhalisia wowote
Mkuu yeriko siwezi kukuunga mkono kwa ulichokiandika maana nikichekesho Somalia, Congo, Kenya ambayo inapeleka vifaru west gate itushinde?uongooo