Facts About Tanzania - East Africa You Did Not Know About

ahsante!! na maisha ni magumu kweli...

br labda ungeeleza nimekurupuka kivipi ingekua ni bora
 
Video umepewa huelewi, Picha huelewi. Basi soma hii link. (Tanzania Mpingo Conservation Organization), huenda akili zita kula ubongo kidogo.

Mpingo Conservation Home
 
jaribu kusoma post zangu za mwanzo kabisa utagundua kuwa nipo bega kwa bega na mtoa mada, tatizo linakuja pale ambapo mtoa mada alitaka kila mtu aseme kama anavyotaka yeye(mtoa mada)

pia kitendo cha kuita watu "wajinga, wapumbavu, hawana akili" si busara

pia ninaomba mleta mada ahakikishe hizo anazoita "facts" ziwe ni za ukweli na uhakika, jf haitumiki hapa tanzania tu, na sio kila mtu ana mawazo kama yake
 
Kisha soma hapa kuhusu mpingo

ENVIRONMENT-TANZANIA
: Protecting the World’s Most Expensive Tree | Inter Press Service
 
Acha kutafuta kiki kwa nguvu ili uwe na post nyingi.
 
Whatever you believe it will happen to you! Ukiwaza blessings zitakufuata mpaka kizazi cha nne ukiwaza laana basi nayo itahamia kwako mpaka kizazi cha nne!
Sikutaka kuchangia, lakini kwa hili andiko lako nimeona ingalau nikupongeze. Kuna andiko katika Biblia linasema "Aonavyo (mtu) nafsini mwake ndivyo alivyo". Kwa hiyo sioni ajabu kwa wale wanaolalamika eti masikini, maana wayasemayo au kutenda ni matokeo ya kile wanachowaza...
 
Soma hapa taarifa kutoka FAO

Indigenous multipurpose trees of Tanzania: Uses and economic benefits for people - DALBERGIA MELANOXYLON*
 
Acha kutafuta kiki kwa nguvu ili uwe na post nyingi.
ndio maana hatuelewani br, wewe unafikiria kila mtu anatafuta sifa?

ndio maana unatoa matusi na lugha chafu?

watu wenye hulka kama yako huwa ni wagumu kukubali ukweli
 
Soma tena hapa. Nadhani mpaka hapo ubogo wako umepata elimu kidogo. Acha kudanganywa. Huko Kenya ni kama distributors. Huwezi pata mpingo huko.

sustainableblackwood.org - Welcome
 
your own link says that it is found in tanzania AND mozambique.

so my question still stands, where is the proof that is it ONLY found in tanzania
Huu mti unaitwa mpingo, Ni noma unapatikana Tanzania pekee.
show us the proof that it is ONLY found in tanzania or admit that statement was a brain fart and you didnt think twice before posting that nonsense.

hapa leo kitaeleweka kwamba your are full of shit. kijana toa proof!
 
Soma hapa tena. Naona hizo nondo zimekutosha. Siku nyingine uje vizuri.

Global Trees Campaign - Resources
 
Wewe leta point yako kusema mpingo unapatikana kenya. Mbona unakwepa!!? Nimekupa Link kibao wewe hujaleta hata moja. Sasa tukueleweje!!?
Leta link yako kuhusu mpingo kupatikana kenya. Nimekupatia link ya FAO. Je, umeisoma!?
 
yah what u r sayin is very true, ila kumbuka it's now 56 yrs since independence, but we are not progressing enough, how many yrs are enough for us to move on??
Your not moving because your are lazy,dependant and lack self confidence/respect. Believe me you can do more than that.
 
ni ajabu sana pale ambapo mtu "umevaa malapulapu halafu ukajiaminisha kuwa umevaa suti" au kujiaminisha kuwa "unatembea hali ya kuwa umelala"

inahitaji uwe na tatizo la akili ili uendelee kuishi na fikra kuwa maendeleo yatakuja kesho halafu hujachukua hatua madhubuti kutatua kilichosababisha ufeli kufikia malengo yako (only dead people could think this way)

oooooh! sorry nawaharibia "thread yenu", nipo "out of topic"
 
your own link says that it is found in tanzania AND mozambique.

so my question still stands, where is the proof that is it ONLY found in tanzania
Huu mti unaitwa mpingo, Ni noma unapatikana Tanzania pekee.
show us the proof that it is ONLY found in tanzania or admit that statement was a brain fart and you didnt think twice before posting that nonsense.

hapa leo kitaeleweka kwamba your are full of shit. kijana toa proof! you can run but you cannot hide annael. leo umepatikana.

incase you you didnt know, the tree is in kenya and many other african countries
 
Soma link ya FAO nimekuwekea. Umeisoma lakini?
Soma tena hapa:
Indigenous multipurpose trees of Tanzania: Uses and economic benefits for people - DALBERGIA MELANOXYLON*
 
Huu mti unaitwa mpingo, Ni noma unapatikana Tanzania pekee.
those are YOUR words so show us the proof that it is ONLY found in tanzania or admit that statement was a brain fart and you didnt think twice before posting that nonsense.

hapa leo kitaeleweka kwamba your are full of shit. kijana toa proof! you can run but you cannot hide annael. leo umepatikana.

incase you you didnt know, the tree is in kenya and many other african countries
 
Nimekuletea source ya FAO. Sasa wewe unaleta links za ajabu. Hao uliowaweka hapa ni distributors. Nimekuambia unieleze mpingo unapatikana wapi kenya? Na unatakiwa utambue unapatikana katika mazingira gani. Usituchoshe.
 
Amen mtumishi wa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…