Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
br mjibu mwenzako kwa hoja, mwenzako ameongea vizuri na wewe toa maneno mazuriAcha ujinga. Hujui uongealo. Ninakusamehe bure.
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Kizazi kijacho hakihitaji plutonium, uranium, gold, diamonds, tanzanite or whatever, kinahitaji kukuta infrastructure imekaa sawa kwa shughuli za uchumi zitakazokuwapo! Watu kama wewe ndo mnafanya umaskini utamalaki ktk nchi hii kwa kudanganya mbumbumbu kwamba Tanzania ni tajiri. Unajua ni sawa na kusema tuna chakula kingi ndani halafu unashinda na njaa, mchwa, panya na bunguzi wanajifanyia michakato ndani ya ghala! Unasifia deposits za utajiri ambazo zinaondoka bila kuacha impact ya kimaendeleo halafu unafikiri zitaota tena! Uvumbuzi wa Olduvai gorge unatufaidisha nn sisi? Hili lina weza kuwa fuvu lililoletwa na maji kwani wale watu waliokufa ktk gharika waliishia wapi? Let's think objectively, utajiri wa kusema sema tu, hata Kenya wana magadi na yanawanufaisha zaidi kilimo almasi inavyofanya kwa Tanzania!
Maoni tu!
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Tatizo sio kuwa na rasilimali nyingi, bali ni hizo rasilimali zinawanufaishaje watanzania na Taifa kwa jumla. Kumiliki rasilimali ni jambo moja na kufanya rasilimali hizo zinufaishe wengi ni jambo lingine
Kipi kizuri amesema? Kwani mimi nipo hapa kujibu watu. Huo ni umbumbumbu. Mimi nimetoa thread inayohusu Facts about Tanzania. Sasa unapouliza maswali ya kijinga unataka nikujibu nini!?br mjibu mwenzako kwa hoja, mwenzako ameongea vizuri na wewe toa maneno mazuri
Acha bra bra wewe!! Leta facts hapa, muvingo ni kitu gani hicho?ati uanuiliza kama najua mpingo ni nini, boss i have successifuly sued people for cutting muvingo(mpingo) tree found on my land. i have had conversations with a cabinet secretary about that tree. i am intimately aware of the muvingo business in kenya. argue with me on anything else but not on the mpingo tree topic.
suit yourself kingpin. i think my work here is doneWewe ndiye unatakiwa ku prove. Umesema mpingo unapatikana Kenya. So you have to prove siyo mimi.
hahahahah hapo ndipo unapokoseaKipi kizuri amesema? Kwani mimi nipo hapa kujibu watu. Huo ni umbumbumbu. Mimi nimetoa thread inayohusu Facts about Tanzania. Sasa unapouliza maswali ya kijinga unataka nikujibu nini!?
Mtu mwenye akili timamu hawezi akauliza maswali ya kipuuzi kama hayo. Sasa unaniuliza umaskini mimi nikufanyie nini!?
Nakuonesha fursa halafu unalalama kama kichaa unategemea nikufanyie nini!? Huo ni ujinga na kwenda out of topic.
Ndio maana nasema huo ni wehu na upumbavu. Na kujifanya mjuaji kumbe mpiga kelele tu. Vilevile usembe wa kichwani.hahahahah hapo ndipo unapokosea
ok, mimi nakubali unanionyesha fursa, lakini kitu kimoja ambacho hutambui ni kwamba urasimu na ubadhilifu uliojaa kwenye taasisi zilizopewa dhamana zinafanya watu washindwe kuzifikia hizo fursa
mimi nakusapoti mia kwa mia kutangaza hizo fursa, ila nilikua natoa dukuduku kuwa it is very sad hatuwezi kuzifikia hizo fursa
au ulikuwa hutaki watu waeleze changamoto wanazoziona katika kuzifikia hizo fursa?
Whatever you believe it will happen to you! Ukiwaza blessings zitakufuata mpaka kizazi cha nne ukiwaza laana basi nayo itahamia kwako mpaka kizazi cha nne!Still waiting to see if this is a blessing To benefit Tanzanians or a curse
Unajua Historia ya china wewe au unabwabwaja tu hapa kama debe!!? Hapa tunaongelea facts about Tanzania. Anzisha thread hiyo ya kuongelea hayo. Usiharibu thread za watu na kuleta taarifa za kipumbavu.hebu angalia nchi kama china ambavyo wana utilize natural resources zao, hatuna budi na sisi tuige mfumo wa wenzetu katika udhibiti na usimamiaji wa rasilimali
kama wao wameweza nina amini na sisi pia tunaweza kusimamia vizuri rasilimali zetu ili zitunufaishe, na mwisho wa siku mabandiko kama yako na yenyewe yatakua na tija kwa taifa
yaah!! huenda mimi ni mpumbavu ila wewe mwerevu umeshindwa kuelewa kuwa watu wamechoshwa na matangazo yasiyo na tijaNdio maana nasema huo ni wehu na upumbavu. Na kujifanya mjuaji kumbe mpiga kelele tu. Vilevile usembe wa kichwani.
Tanzania ipo na eneo kubwa sana. Ardhi ipo bwelele, watu toka nje wanapokuja wanaitumia na kupata faida. Nyie mnabaki kupiga makelele kama vichaa, hamuoni na mnazidi kulalama. Kwanini wa kawaida toka nje anapokuja anaona fursa na kuitumia kisha anapata faida!!?
Huu upuuzi uliokaa kichwa unatakiwa uondolewe kwa nguvu, Sio wa kutetea hata kidogo. Maana maswali hayo ni ya watu wapumbavu wanaojifanya wanajuaji.
Hapa tunaongelea Facts about Tanzania. Wewe unaleta issue out of topic. Tutakuchulia kwamba ni mtu usiye na direction kwamba unarukia rukia mada.