evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,772
Kafie mbaliKENYAN NEWS AND POLITICS....hii ingepelekwa Kule jukwaa la tanzania ingeelimisha watz wengi wasiopenda huu ushabiki usiokua na tija
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafie mbaliKENYAN NEWS AND POLITICS....hii ingepelekwa Kule jukwaa la tanzania ingeelimisha watz wengi wasiopenda huu ushabiki usiokua na tija
Kafie mbaliWenzako tu ndio wanakumaliza,, wakenya tumenyamza
Usitumie 'tu' tumia 'ni'Lakini tumebaki nyuma kuwa masikini wa kutupwa
Mkubwa Tanzania kuna hifadhi za taifa (national Parks) 16 sio 12!30% of country’s area is occupied with National Parks, with 12 parks, 13 nature reserves, and 38 protected areas.
Hii tunafanya kwa ajili ya urithi wa taifa kizazi cha sasa na kizazi kijacho. View attachment 480732
unachosema ni kweliUsitumie 'tu' tumia 'ni'
Yaani tunga sentensi yako ikae hivi
'nimebaki maskini wa kutupwa'
Na hizo mindset zenu za Umaskini Mnatuharibia nyuzi tamu kama hizi za kutangaza utalii wa Taifa letu.
Umaskini upo kichwani mwako.
Mkuu Annael keep on this good job.
Tulia fansida ukiungie we mungikiKENYAN NEWS AND POLITICS....hii ingepelekwa Kule jukwaa la tanzania ingeelimisha watz wengi wasiopenda huu ushabiki usiokua na tija
Tumia akili unapochangia vitu. Siyo kutumia hisia. Ungekuwa mtu mwenye busara ungekaa kimya.unachosema ni kweli
br sikuwa na lengo la kuponda wala kulalamika "kama mwehu"
kama ni kufanya kazi mimi pia nafanya kazi na nina kiu ya maendeleo kuliko unavyofikiria
tatizo umechukulia kuwa mtu akieleza huzuni aliyonayo basi atakua ni mlalamikaji
lazima tulalamike, kwa sababu mbali na jitihada zetu za kuijenga nchi yetu ila kuna wachache ambao wanaturudisha nyuma
kama wewe unakula vizuri, unakunywa vizuri na unalala pazuri basi tambua kuna wengine hali zao ni kinyume chako, na wala si kwa sababu ni wazembe bali hakuna opportunities za kutosha
ni hamu ya watanzania wengi kuona rasilimali hizi zinawanufaisha, isiishie kuzitangaza tuuuu halafu wanaonufaika ni wachache tena wengine hawastahiki kunufaika nazo
nawatakia kazi njema na asubuhi njema, tukutane kwenye foleni
bado hujaelewa tu??
ungekua muelewa ungeelewa sikuwa nataka kukuponda unachosemaTumia akili unapochangia vitu. Siyo kutumia hisia. Ungekuwa mtu mwenye busara ungekaa kimya.
Kizazi kijacho hakihitaji plutonium, uranium, gold, diamonds, tanzanite or whatever, kinahitaji kukuta infrastructure imekaa sawa kwa shughuli za uchumi zitakazokuwapo! Watu kama wewe ndo mnafanya umaskini utamalaki ktk nchi hii kwa kudanganya mbumbumbu kwamba Tanzania ni tajiri. Unajua ni sawa na kusema tuna chakula kingi ndani halafu unashinda na njaa, mchwa, panya na bunguzi wanajifanyia michakato ndani ya ghala! Unasifia deposits za utajiri ambazo zinaondoka bila kuacha impact ya kimaendeleo halafu unafikiri zitaota tena! Uvumbuzi wa Olduvai gorge unatufaidisha nn sisi? Hili lina weza kuwa fuvu lililoletwa na maji kwani wale watu waliokufa ktk gharika waliishia wapi? Let's think objectively, utajiri wa kusema sema tu, hata Kenya wana magadi na yanawanufaisha zaidi kilimo almasi inavyofanya kwa Tanzania!Hayo maneno yako. Hayanihusu, Tanzania haiishii leo wala kesho. Kuna kizazi kijacho.
Mtu mpumbavu hula chakula chake chote na kusahau kizazi kijacho. Lakini mwenye hekima hutumia mali zake kwa busara kwa ajili ya baadae. Sasa jitazame mawazo yako yapo katika kundi gani.
Acha ujinga. Hujui uongealo. Ninakusamehe bure.Kizazi kijacho hakihitaji plutonium, uranium, gold, diamonds, tanzanite or whatever, kinahitaji kukuta infrastructure imekaa sawa kwa shughuli za uchumi zitakazokuwapo! Watu kama wewe ndo mnafanya umaskini utamalaki ktk nchi hii kwa kudanganya mbumbumbu kwamba Tanzania ni tajiri. Unajua ni sawa na kusema tuna chakula kingi ndani halafu unashinda na njaa, mchwa, panya na bunguzi wanajifanyia michakato ndani ya ghala! Unasifia deposits za utajiri ambazo zinaondoka bila kuacha impact ya kimaendeleo halafu unafikiri zitaota tena! Uvumbuzi wa Olduvai gorge unatufaidisha nn sisi? Hili lina weza kuwa fuvu lililoletwa na maji kwani wale watu waliokufa ktk gharika waliishia wapi? Let's think objectively, utajiri wa kusema sema tu, hata Kenya wana magadi na yanawanufaisha zaidi kilimo almasi inavyofanya kwa Tanzania!
Maoni tu!
wooooow!? huenda wewe ukawa ndie mtanzania pekee ambae hujui kuwa nchi yetu ni masikini.
my br cha muhimu tupige kazi kwa nguvu zetu zote tuijenge nchi yetu kwa amani na upendo, hakuna haja ya kulumbana