Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
- Thread starter
- #21
Hayo maneno yako. Hayanihusu, Tanzania haiishii leo wala kesho. Kuna kizazi kijacho.Lakini tumebaki nyuma kuwa masikini wa kutupwa
Mtu mpumbavu hula chakula chake chote na kusahau kizazi kijacho. Lakini mwenye hekima hutumia mali zake kwa busara kwa ajili ya baadae. Sasa jitazame mawazo yako yapo katika kundi gani.