nyambotoni
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 411
- 1,767
ahsante!! na maisha ni magumu kweli...Wewe na wenzako wa aina yako mmekurupukia mada, Mada haihusiani na Umasikini wako mada ni kutoa sifa kwa nchi yetu... Umasikini wako fungulia mada mpya alafu husishanisha na facts zilizowekwa humu... Tutakuja kuchangia usijali, pole sana na ugumu wa maisha
br labda ungeeleza nimekurupuka kivipi ingekua ni bora