Facts! Foreign Players wa Simba wengi kawaida sana!

Mayele yupi alicheza mechi 7 bila goli? Mechi ya kwanza tu kawakanda Makolo
 
Akina Onana nchi hii wapo wengi tena bora kuliko yeye. Lusajo anaweza kukupa kitu kuliko huyu Onana! Mimi nakomaa na mfano mdogo kwa huyu kiungo mpya si bora hata Aweso au Bajana?
Umesema ukweli, shida ni ushamba, ulimbukeni na maslahi binafsi ya viongozi wa timu zetu ndio chanzo cha hayo.

Wengi wa hao wageni ni average players. Hata mimi kati ya Sarr au Kagoma au Kelvin Nashon nachukua Kagoma au Nasho. Professional lazima awe tofauti. Nimemuangalia jana, jamaa hajiamini, mzito, anapoteza mipira mingi. Ni usajili wa kindezi huu hata wa Ayoub nao ni wa kishamba.
 
Ili hilo lisitokee tufute nafasi yake. Anafanya kazi nzuri ila viongozi wanamuangusha kwa scouting mbovu! Hawa viongozi hawana jipya tunahitaji maamuzi magumu kuibadili timu.
Kuhusu viongozi Hilo halina ubishi. Afadhali Mangungu kuliko Jaribu Tena. Huyu issue ya Mkataba wa Saidoo ni mnufaika Hadi kwenye mshahara wake.
 
Jana nilisikia hasira sana ila ssc tatizo letu sio KOCHA ni WACHEZAJI hawana kabisa spirit ya kuipambania timu.
Ni kama wameridhika kabisa na maposho posho,
Hivi fikiria ule ni uchezaji gani? Timu imeoza mno mno wachezaji kama wanaliwa bwana aaaaggh🤣🤣🤣🤣
 
Umeandika ushuzi wa hali ya juu.
 
Hahahahaha, kwamba mnahujumiwa ktk usajiri ? Aisee
 
Mashabiki wanaojazwa ndio wapumbavu tu,maana mpira ni mchezo wa wazi.
Sarr alitakiwa awe ameondoka tangu mechi ya kwanza ila ndio tumeshapigwa tena
sarr ana tatizo gani? kitaalamu jamaa ni mali, just wait & see
 
Nipeni milion kumi nikuletee wakna onana Kama saba hivi huku temeke
Hivi aliona touch ya kwanza ya Chasambi alivyoingia Sub, ile touch ni Superb. Huwezi linganisha na touch za akina Onana au Saido mpaka autengeneze mpira ndio apige.
 
Kwa hiyo zile saa 48 zilikuwaje tena?[emoji1]
Zile bado kizungumkuti, kocha anataka washambuliaji wa maana na kapiga watu panga. Jana kwenye press kagusia kwa hasira anataka strikers wenye nguvu [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…