Black ma colour
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 733
- 663
yani wale wenye ufaulu mzuri 4m6 ndo wanaenda SUA,UDSM,MZUMBE
Wale vilaza waliobahatisha ndo wanaenda SAUT,TUMAINI,ST.JOHN
Na vyuo vingine vya private najua mtachukia
- :yield:
2013 TWENZETU
Masela msijenge chuki..ukweli mnaujua na nikweli wa nje ya vyuo hvyo vya serekali wengi wenu ni vilaza..it hurts lakini ukweli ndio huo..there on merits..
Penye ukweli pasemwe tu...mimi nilikuwa naitamani UDSM Kitambo tu ila baada ya kuokota div 3 ya 13 yangu na ndoto zikayeyuka kama barafu...hata kwenye selection sikujisumbua kuiweka nkapatamani pia ardhi nkaweka chaguo la kwanza ila wamenipa IFM chaguo la pili,naamini si kwa sababu ya matokeo maana mshkaji wangu ana 3 ya 14 kapata ardhi...kwa sasa ninajivunia hiyo IFM yangu na naamini ni chuo kizuri sana academically....... uyo wa 3.14 kapata kwa kozi gani
Mwaka 2006 baada ya matokeo ya darasa la 7 nilikuwa mtu mwenye huzuni zaidi duniani,niliachwa kwenye selection kwani nilikuwa point 1 chini ta alama ya mstari nikiwa na alama 177 zangu nikabaki mtaani rafiki zangu wakachguliwa azania,benjamin dar sec kibasila na kwingineko....mungu si athumani mradi wa shule za kata ukatimia tukachaguliwa kwenda kuianzisha shule ikiwa na walimu wachache,vifaa haba vya kufundishia pale barabara ya mwinyi sec mwaka 2007 na baada ya matokeo ya kidato cha 4 mwaka 2010 nilikuwa na jambo la kujifunza,katika wale rafiki zangu walioenda shule nilizokuwa nazitamani muda huo ni nusu yao tu ndo walifanikiwa kupita na wengine 7 waliishia kupata division 4 huku mimi na shule yangu ya kata nikipasua mawimbi na 2 ya 21....advance tena nimekisanua ndanda sec 3 ya 13 na leo najiandaa kuingia IFM....kila nikiwakumbuka washkaji zangu basi napata somo kuwa elimu haina formula,ni kichwa cha mtu mwenyewe jinsi gani anaweza kubeba materials kichwani na kudeliver at the right time,chuo au shule nzuri itakusaidia iwapo tu na wewe utajisaidia hivyo nyie wa udsm na mzumbe badala ya kukaaa na kujisifia ni vema mkapambana ili baada ya miaka mitatu utambe vizuri ukiwa tayari na degree yako mkononi tena ikiwa ni kutoka chuo classic kuliko kuanza kupiga kelele sasa hivi baadae hao unaowaita wa vyuo vya kata wakupige bao...
Pongezi kwako kijana, kama ni mdau mzuri wa hili jukwaa unaweza tambua ni jinsi gani lilivyo poteza maana halisi ya kuanzishwa kwake!
Kuna memba wengi saaana wamesoma hivyo vyuo ambavyo wageni katika hii forum wanatumia kutoa Tambo zao!
Heri yako umelitambua hilo mapema,nakushauri endelea kupitia mabandiko ya memba wenzako hapa jamvini hop utapata juzwa mengi.
Epuka hizi ligi za kutambiana vyuo,tuliosoma Udsm tunazijua changamoto tulizozipata wakati ule.
Huku mtaani ndio kabisa,waajiri hawaangalii umesoma wapi,nini umebeba upstair ndio hasa shida yao!!!!
Litumieni vyema hili jukwaa,kama ni kufahamiana mnaweza kuja chit chat, Hizi threads mnazoleta zinawapunguzia credibility hapa Barazani Madogo.
Wasalaaaaam.
yani wale wenye ufaulu mzuri 4m6 ndo wanaenda SUA,UDSM,MZUMBE.
Kumbe ni form six.hujanzaa ata course unaleta nyodo zako utadisco na akil zako za majanga.poor u..
kwa unanithibisha kwamba Teofile Kisanji sio chuo cha maanaSomeni vijana achaneni na malumbano yasiyo na tija, ubora wa chuo una saidia sawa nakubali lakini kiu ya mwanafunzi husika kutaka kujua mambo ndiyo cha muhimu zaidi. Hata kama utasoma TEOFILO KISANJU kama una nia thabiti ya kujifunza lazima utatoka na kitu kichwani.
kwa unanithibisha kwamba Teofile Kisanji sio chuo cha maana
Masela msijenge chuki..ukweli mnaujua na nikweli wa nje ya vyuo hvyo vya serekali wengi wenu ni vilaza..it hurts lakini ukweli ndio huo..there on merits..
Nikiambiwa nichague vyuo bora kutokana na sifa toka kwa waajiri
1.D.I.T
2.SUA
3.alafu vingine vyote uvijuavyo,,udsm,muhas,bugando,tumaini,saut e.t.c