facts. SUA,UDSM,MZUMBE

facts. SUA,UDSM,MZUMBE

uciwe mjinga wa karne na mvivu wa kufikiri. udsm wanachukua cut off point kuanzia 3 je wajua hyo na sawa na division gan? vile vile sua ni 3 kwa me na 2.5 kwa ke. acha ushamba wa kusoma kwa kufuata jina la chuo/
yani wale wenye ufaulu mzuri 4m6 ndo wanaenda SUA,UDSM,MZUMBE
Wale vilaza waliobahatisha ndo wanaenda SAUT,TUMAINI,ST.JOHN
Na vyuo vingine vya private najua mtachukia

  • A%20S-key.gif
    • :yield:
      2013 TWENZETU

university charter tayari zimeshatolewa mi niende MOUNT Meru University nikasome niachane na majina
 
Masela msijenge chuki..ukweli mnaujua na nikweli wa nje ya vyuo hvyo vya serekali wengi wenu ni vilaza..it hurts lakini ukweli ndio huo..there on merits..
 
Vijana wenzangu acheni kubishana kwa sababu ya vyuo jadirini mambo ya msingi nyie vipi?
 
Penye ukweli pasemwe tu...mimi nilikuwa naitamani UDSM Kitambo tu ila baada ya kuokota div 3 ya 13 yangu na ndoto zikayeyuka kama barafu...hata kwenye selection sikujisumbua kuiweka nkapatamani pia ardhi nkaweka chaguo la kwanza ila wamenipa IFM chaguo la pili,naamini si kwa sababu ya matokeo maana mshkaji wangu ana 3 ya 14 kapata ardhi...kwa sasa ninajivunia hiyo IFM yangu na naamini ni chuo kizuri sana academically....... uyo wa 3.14 kapata kwa kozi gani
 
Mwaka 2006 baada ya matokeo ya darasa la 7 nilikuwa mtu mwenye huzuni zaidi duniani,niliachwa kwenye selection kwani nilikuwa point 1 chini ta alama ya mstari nikiwa na alama 177 zangu nikabaki mtaani rafiki zangu wakachguliwa azania,benjamin dar sec kibasila na kwingineko....mungu si athumani mradi wa shule za kata ukatimia tukachaguliwa kwenda kuianzisha shule ikiwa na walimu wachache,vifaa haba vya kufundishia pale barabara ya mwinyi sec mwaka 2007 na baada ya matokeo ya kidato cha 4 mwaka 2010 nilikuwa na jambo la kujifunza,katika wale rafiki zangu walioenda shule nilizokuwa nazitamani muda huo ni nusu yao tu ndo walifanikiwa kupita na wengine 7 waliishia kupata division 4 huku mimi na shule yangu ya kata nikipasua mawimbi na 2 ya 21....advance tena nimekisanua ndanda sec 3 ya 13 na leo najiandaa kuingia IFM....kila nikiwakumbuka washkaji zangu basi napata somo kuwa elimu haina formula,ni kichwa cha mtu mwenyewe jinsi gani anaweza kubeba materials kichwani na kudeliver at the right time,chuo au shule nzuri itakusaidia iwapo tu na wewe utajisaidia hivyo nyie wa udsm na mzumbe badala ya kukaaa na kujisifia ni vema mkapambana ili baada ya miaka mitatu utambe vizuri ukiwa tayari na degree yako mkononi tena ikiwa ni kutoka chuo classic kuliko kuanza kupiga kelele sasa hivi baadae hao unaowaita wa vyuo vya kata wakupige bao...

Pongezi kwako kijana, kama ni mdau mzuri wa hili jukwaa unaweza tambua ni jinsi gani lilivyo poteza maana halisi ya kuanzishwa kwake!

Kuna memba wengi saaana wamesoma hivyo vyuo ambavyo wageni katika hii forum wanatumia kutoa Tambo zao!

Heri yako umelitambua hilo mapema,nakushauri endelea kupitia mabandiko ya memba wenzako hapa jamvini hop utapata juzwa mengi.

Epuka hizi ligi za kutambiana vyuo,tuliosoma Udsm tunazijua changamoto tulizozipata wakati ule.
Huku mtaani ndio kabisa,waajiri hawaangalii umesoma wapi,nini umebeba upstair ndio hasa shida yao!!!!

Litumieni vyema hili jukwaa,kama ni kufahamiana mnaweza kuja chit chat, Hizi threads mnazoleta zinawapunguzia credibility hapa Barazani Madogo.

Wasalaaaaam.
 
Pamoja mkuu....asante kwa ushauri mzuri
 
mpango mzima utoke na jiwe lako popote but tukuone una maisha mazuri na so kuuza sura mtaa na combnation of diff certificates huku umechomeka shati na kuzurura mjini.
 
Tatizo moja la Udsm aisee jiandae kutoka na lower second..aisee..
 
Someni vijana achaneni na malumbano yasiyo na tija, ubora wa chuo una saidia sawa nakubali lakini kiu ya mwanafunzi husika kutaka kujua mambo ndiyo cha muhimu zaidi. Hata kama utasoma TEOFILO KISANJU kama una nia thabiti ya kujifunza lazima utatoka na kitu kichwani.
kwa unanithibisha kwamba Teofile Kisanji sio chuo cha maana
 
kwa unanithibisha kwamba Teofile Kisanji sio chuo cha maana

Hapana mkuu maana nimeona wengi hapo juu wanakiongelea vibaya ndiyo maana nimeshawishika kuwa chuo hicho kina changamoto nyingi ambazo zinahitaji kufanyiwa lazi.Binafsi ndiyo kwanza nimeanza kukisikia hivi juzi juzi tu kwa hiyo kusema kuwa ni kibaya au kizuri nitakuwa nasema uongo.
 
Masela msijenge chuki..ukweli mnaujua na nikweli wa nje ya vyuo hvyo vya serekali wengi wenu ni vilaza..it hurts lakini ukweli ndio huo..there on merits..

HEBU JARIBU KUJIFIKIRISHA KIDOGO, unazungumza kuhusu wanafunzi wa vyo nje ya serkali hv unatambua mwanafunz wa chuo cha udsm au udom hauwezi kufananisha na wa chuo st. agastn, ama st. john? elimika wewe.
 
Hili wakuu halina ubishi hata sekondari kuna shule za kata wanaenda vilaza.jambo lingine kama wanabisha watu wa 3 na 2 waombe law mzumbe na udsm tuone kama watapata wakati SAUT na MAKUMILA ni wawaaaaaaaaaaaaaaa.atakayebisha aandamane bila kula
 
Tangu lini shule/vyuo vya serikali vikatoa elimu bora kuzidi private? Isco23 hauko sahihi ktk hili, kama unabisha check ufaulu wa shule za serikali vs private!
 
Back
Top Bottom