facts. SUA,UDSM,MZUMBE

facts. SUA,UDSM,MZUMBE

isco23

Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
43
Reaction score
12
yani wale wenye ufaulu mzuri 4m6 ndo wanaenda SUA,UDSM,MZUMBE
Wale vilaza waliobahatisha ndo wanaenda SAUT,TUMAINI,ST.JOHN
Na vyuo vingine vya private najua mtachukia

  • A%20S-key.gif
    • :yield:
      2013 TWENZETU

Hata wenye ufaulu mzur primary wanakwenda mzumbe,kibaha,ilboru nk..but chuo hawataki kukubali matokeo kama kuna vyuo vyengine ni kama shule ya mburahati sec school..
 
mbona mimi nina two nimeenda saut masscom vilaza ni nyie mnaoponda vyuo vya wenzenu

fact:masscom ya udsm na vyuo vingine iko so poor ikiicompare na ya SAUT bisha tuone
 
ISCO23; Hivyo ni vyuo vikongwe inawezekana Uzuri wake ukatokana na wataalam wa kudumu katika vyuo hivyo. SUA is very good in Agricultural Related Courses na ndizo zilizopo. Mzumbe ni Administrators, UDSM mchanganyiko.

Vyuo vingine vinaathiliwa na kutokuwa na Wahadhili Permanent, yaani unakuta Mhadhili anapigisha shule UDSM, then anaenda SAUT, akitoka hapo anaenda TEOFIL KISANJU,,,obvious watakaofaidi kwa sana ni wale wanafunzi wake PERSE.

Angalizo ni kwa hivi vyuo vingine kuhakikisha vinakuwa na Walimu wa Kudumu lakini ambao ni Competent
 
ebu 2acheni ubishi! 2naweza compare vyuo kwa kuangalia wanafunzi wanao chaguliwa, mfumo mzima wa utendaji na ufundishaji, uwezo wa wanafunzi wanao maliza katika soko la ajira ikiwemo ajira binafsi,wahadhiri n.k... Ila kiukweli ukilinganisha vyuo kwa wanafunzi wanaochaguliwa vyuoni yani freshers basi UDSM,SUA,MZUMBE,ARDHI,MUHASI...huwezi kuviacha japo wapo pia wenye ufulu mzuri wanaoenda vyuo vingine japo ni wachache sana! Na wengi wenye ufaulu mzuri hupenda kuomba vyuo kati ya hvo nilivovitaja...na sio wote walio vyuo hivo wana ufaulu mzuri mfano UDSM kuna wa2 wapo pale wana three za kawaida ! Lakn pia wapo wa2 wanaosoma dgr course kama telecomm,civil,actuarial etc pale udsm passmark zao ni za hatari! Mfano huwez compare wanafunzi wanaochaguliwa telecom.udom na udsm....kwa kigezo hcho hvo vyuo hatari..! Kwa vigezo vingne hyo kaz ni ya tcu na mashrka mengne!
 
Huwa sijui maana halisi ya neno "kilaza" kilaza ni nani,?kuna uwezekano kwamba hata kuwaita wenzako vilaza ni ukilaza pia,
 
Daaah uongo mwimngi hapa,,,kuna ndugu zangu wawili mwaka jana walienda udsm na ardhi na wote walikuwa na division 3,mmoja pcm mwingine egm,,,,sasa wa udsm yuko mechanical eng na wa ardhi yuko building economics,,na walikuwa vilaza tu,,na kuna mwuingine kapata ardhi this year ana 3 ya hgl,,,,,so msikeshe kwenye jukwaa kudanganyana
 
waambie hao wanapondaponda 2 vyuo vngne wakat kama 3 tumepata wengi tu! hataivo wote tukienda udsm sua na mzumbe vyuo vngne ataenda nani sasa! basi ka vp vfungwe au vpewe majina hayo vyote labda tutaacha kupondana! sio vizuri kupondana bhana, mara ooh vlazaa! mara ooh vya kata! haipendez bhana! %
 
whatever you hv said bt hivi vyuo ni atareee.... huez compare na hivo vyuo vyenu vya kata!!
 
yani wale wenye ufaulu mzuri 4m6 ndo wanaenda SUA,UDSM,MZUMBE
Wale vilaza waliobahatisha ndo wanaenda SAUT,TUMAINI,ST.JOHN
Na vyuo vingine vya private najua mtachukia

  • A%20S-key.gif
    • :yield:
      2013 TWENZETU

Sasa ndio umeanzisha mada gani hapa? kama huna mada ya maana, nyamaza kimya. Mnasumbua wasomaji. Watu wanadhani kuna habari ya maana, kumbe wewe unaleta mzaha hapa. Tena kwenye jukwaa la elimu. Hii tabia ikome.
 
Nikiambiwa nichague vyuo bora kutokana na sifa toka kwa waajiri
1.D.I.T
2.SUA
3.alafu vingine vyote uvijuavyo,,udsm,muhas,bugando,tumaini,saut e.t.c
 
Ukianza kupata akili yako tu basi unakua na ndoto za kusoma UDSM but mambo yakishageuka ndio mnakimbilia SAUT,MAKUMIRA,TEKU nk..mlipokua primary mlikua mnaijua TEKU..si mlikua mnapajua mliman tu..saiv mnataka kusema Eti vipo sawa..thubutuuu..hata mademu kuna wazuri na wabaya..jipeni moyo lakini
 
Kuna mhitimu wa MZUMBE 2011 alituma kwenye kampuni ninayofanyia kazi barua ya kazi aliandika "I am applicating for the job" so hapo nadhani tuangalie je wankuwa competent makazini kwao? coz jina la chuo si hoja sana.
 
Umburula unawasumbua tu.endeleeni kusifia hivyo vyuo na muishie ku disco.
Elimu kichwani mwako
 
Kuna mhitimu wa MZUMBE 2011 alituma kwenye kampuni ninayofanyia kazi barua ya kazi aliandika "I am applicating for the job" so hapo nadhani tuangalie je wankuwa competent makazini kwao? coz jina la chuo si hoja sana.

Katika mahodari pia kuna wakwanza na wamwisho..huyo alikua hajielewi
 
yani wale wenye ufaulu mzuri 4m6 ndo wanaenda SUA,UDSM,MZUMBE
Wale vilaza waliobahatisha ndo wanaenda SAUT,TUMAINI,ST.JOHN
Na vyuo vingine vya private najua mtachukia

  • A%20S-key.gif
    • :yield:
      2013 TWENZETU

Acha dharau,,,,,,,,,,,,.ivi wewe tumain unaidharau sanaaaaaaa?kuwa makin...sio kila chuo cha pravate ni fake...!
 
Back
Top Bottom