man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,354
Ukianza kupata akili yako tu basi unakua na ndoto za kusoma UDSM but mambo yakishageuka ndio mnakimbilia SAUT,MAKUMIRA,TEKU nk..mlipokua primary mlikua mnaijua TEKU..si mlikua mnapajua mliman tu..saiv mnataka kusema Eti vipo sawa..thubutuuu..hata mademu kuna wazuri na wabaya..jipeni moyo lakini
haaaa ahhhaaaaaa watu wanafcha ukwel xana mimi mwenye cjachaguliwa UDSM ila ndoto zangu zlikua pale ila cjutii kupata hyo UCLAS kuliko kupangiwa TEKU,SAUT au IFM ila ukwel ndo huu UDSM chuo bora barani africa kila mtu analijua hlo na kila mtu anapenda kilicho bora sema cha umuhimu kutokudharau vyuo vingine elimu nayo kama vidole kunakudhidiana uwezo.