facts. SUA,UDSM,MZUMBE

facts. SUA,UDSM,MZUMBE

Ukianza kupata akili yako tu basi unakua na ndoto za kusoma UDSM but mambo yakishageuka ndio mnakimbilia SAUT,MAKUMIRA,TEKU nk..mlipokua primary mlikua mnaijua TEKU..si mlikua mnapajua mliman tu..saiv mnataka kusema Eti vipo sawa..thubutuuu..hata mademu kuna wazuri na wabaya..jipeni moyo lakini

haaaa ahhhaaaaaa watu wanafcha ukwel xana mimi mwenye cjachaguliwa UDSM ila ndoto zangu zlikua pale ila cjutii kupata hyo UCLAS kuliko kupangiwa TEKU,SAUT au IFM ila ukwel ndo huu UDSM chuo bora barani africa kila mtu analijua hlo na kila mtu anapenda kilicho bora sema cha umuhimu kutokudharau vyuo vingine elimu nayo kama vidole kunakudhidiana uwezo.
 
Umeona ee..hata mm ni kama wewe..hakuna alokua hataki kusoma UDSM but ndio hivyo.mm nitakua pale school of geospatial science and technology..hope tutameet one day
 
usiwe mbishi...sauti nyie c hamna system ya kudisco?? sasa hicho ni chuo wanafunzi hamdisco! ?
 
Hata wenye ufaulu mzur primary wanakwenda mzumbe,kibaha,ilboru nk..but chuo hawataki kukubali matokeo kama kuna vyuo vyengine ni kama shule ya mburahati sec school..

Huyu jamaa hanaga akili nyingine zaidi ya kubishania ubora wa chuo:::::idiot::::m2 mwenyewe unakuta kama kajitaid thana ana div 2 af kidomodomo
 
haaaa ahhhaaaaaa watu wanafcha ukwel xana mimi mwenye cjachaguliwa UDSM ila ndoto zangu zlikua pale ila cjutii kupata hyo UCLAS kuliko kupangiwa TEKU,SAUT au IFM ila ukwel ndo huu UDSM chuo bora barani africa kila mtu analijua hlo na kila mtu anapenda kilicho bora sema cha umuhimu kutokudharau vyuo vingine elimu nayo kama vidole kunakudhidiana uwezo.

Mropokaj mwngne...eti udsm chuo bora africa kila mtu analijua hilo...labda unajua ww na bab.ako uctujumlishe wote::::nyambaff
 
Penye ukweli pasemwe tu...mimi nilikuwa naitamani UDSM Kitambo tu ila baada ya kuokota div 3 ya 13 yangu na ndoto zikayeyuka kama barafu...hata kwenye selection sikujisumbua kuiweka nkapatamani pia ardhi nkaweka chaguo la kwanza ila wamenipa IFM chaguo la pili,naamini si kwa sababu ya matokeo maana mshkaji wangu ana 3 ya 14 kapata ardhi...kwa sasa ninajivunia hiyo IFM yangu na naamini ni chuo kizuri sana academically.......
 
Mbrazili does it mean wewe kutaman kusoma udsm kunaifany udsm kua chuo bora...na wewe kutotaman kusoma teku,tumaini au jordan kunafany vyuo hivyo viwe vya kata....
 
Last edited by a moderator:

you are moron.....UDSM kipo rank za juu kwa ubora barani africa najua ulikua ulijui hili uliza basi sio unadandia tu..
 
it sounds good....lazima tujivunie tulichopata ila ukweli ndo huo UDSM is the best.
 
Endeleeni kujisifia na kuponda vyuo..mkitoka vyuoni muendelee na ubishi huo huo kwa kuangalia nani ameelimika na anazalisha kwa ustadi na umakini. Nadhani hapo ndipo itakuwa kipimo bora na tutaweza kukuza uchumi wa nchi yetu.
 
ili nikuamini naomba data na any source ya hizo information zako!! nadhani hapo utakuwa umenisaidia..
 
Nendeni mkasome mje kulitumikia taifa. Habari ya vyuo haitawasaidia kwa sasa...chamsingi hapo ni UPSTAIRS tu.
 
you are moron.....UDSM kipo rank za juu kwa ubora barani africa najua ulikua ulijui hili uliza basi sio unadandia tu..

Nimuulize taira kama m*lugo au nikuulize pimb kama wewe...kilakitu kipo wazi hii digitalia baba acha uzushi na ubabaishaj...politics politics politics
 
mbona mimi nina two nimeenda saut masscom vilaza ni nyie mnaoponda vyuo vya wenzenu

fact:masscom ya udsm na vyuo vingine iko so poor ikiicompare na ya SAUT bisha tuone

we mbululaa punguza upumbavu
mass com ya saut hailingan na hata haikaribian na udsm
nimeshuhudia finalist wa saut hajui hata kuwasha microphone
 
we utakua unasoma memkwa tukana tena we si nimesikia unasoma memkwa kozi ya matusi! Tukana tusi jipya hlo ni outdated huo uwongo umemuona kituo gani? Kadanganye wasojua kusoma
 
Mbrazili does it mean wewe kutaman kusoma udsm kunaifany udsm kua chuo bora...na wewe kutotaman kusoma teku,tumaini au jordan kunafany vyuo hivyo viwe vya kata....

Sorry Sirjyerphy you court me wrong....hakyna sehemu nimesema sitamani kusoma tumaini,teku na jordan..please usipotoshe kauli...nilichosema ni kuwa karibu kila msomi wa nchi hii anatamani kusoma udsm ila ndoto zinapoyeyuka ndio tunaangalia haya machaguo mengine kaka...hata ningepangwa teku bado ningejivunia pia kwani nacho ni chuo kama vingine
 
Last edited by a moderator:
we utakua unasoma memkwa tukana tena we si nimesikia unasoma memkwa kozi ya matusi! Tukana tusi jipya hlo ni outdated mapumbu ya mamako huo uwongo umemuona kituo gani? Kadanganye wasojua kusoma

hey dude calm down...matusi sio poa kausha bana tunalishusha hadhi jukwaa letu.
 
Back
Top Bottom