Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 26, 2020 Thread starter #161
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 26, 2020 Thread starter #162 Gabriel Jesus amehusika kwenye magoli 9 katika mechi sita alizoanza katika ligi ya mabingwa barani Ulaya msimu huu. Amefunga magoli 7 na kutoa assists 2 ingawa vyote hivyo alivifanya kwenye hatua ya makundi.
Gabriel Jesus amehusika kwenye magoli 9 katika mechi sita alizoanza katika ligi ya mabingwa barani Ulaya msimu huu. Amefunga magoli 7 na kutoa assists 2 ingawa vyote hivyo alivifanya kwenye hatua ya makundi.
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 26, 2020 Thread starter #163 Mendy 👉👈 Mendy Ferland na Benjamin wote wameanza katika upande wa kushoto wa timu zao kwenye dimba la Santiago Bernabéu.
Mendy 👉👈 Mendy Ferland na Benjamin wote wameanza katika upande wa kushoto wa timu zao kwenye dimba la Santiago Bernabéu.
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 27, 2020 Thread starter #164 Ferland: ametoa pasi sahihi kwa 100% katika kipindi cha kwanza cha mchezo dhidi ya Man City. Aametoa pasi (30/30). Benjamin; ameongoza kwa kufanya madhambi kwenye kipindi cha kwanza cha mchezo dhidi ya Real Madrid. Amecheza foul (4)
Ferland: ametoa pasi sahihi kwa 100% katika kipindi cha kwanza cha mchezo dhidi ya Man City. Aametoa pasi (30/30). Benjamin; ameongoza kwa kufanya madhambi kwenye kipindi cha kwanza cha mchezo dhidi ya Real Madrid. Amecheza foul (4)
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 27, 2020 Thread starter #165 Sergio Ramos sasa anaongoza kwa kucheza mechi nyingi kwa wachezaji waliocheza ama wanaocheza Champions League msimu huu. Mpaka sasa amecheza mechi 124 akivuka rekodi iliokuwa inashikiliwa na nyanda Gigi Buffon aliecheza mechi 123.
Sergio Ramos sasa anaongoza kwa kucheza mechi nyingi kwa wachezaji waliocheza ama wanaocheza Champions League msimu huu. Mpaka sasa amecheza mechi 124 akivuka rekodi iliokuwa inashikiliwa na nyanda Gigi Buffon aliecheza mechi 123.
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 27, 2020 Thread starter #166 Gabriel Jesus amekuwa mchezaji wa kwanza toka Premier League kufunga goli katika hatua ya mtoano ya ligi ya mabingwa ulaya msimu huu.
Gabriel Jesus amekuwa mchezaji wa kwanza toka Premier League kufunga goli katika hatua ya mtoano ya ligi ya mabingwa ulaya msimu huu.
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 27, 2020 Thread starter #167 Kwa mara ya kwanza katika historia yake Kevin De Bruyne amepiga penati ndani ya dakika 90 za mchezo na kufunga... Hii ni penati yake ya pili kupiga akiwa na Man City
Kwa mara ya kwanza katika historia yake Kevin De Bruyne amepiga penati ndani ya dakika 90 za mchezo na kufunga... Hii ni penati yake ya pili kupiga akiwa na Man City
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 27, 2020 Thread starter #168 Ferland: wins the battle Mendy: wins the war 😉
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 27, 2020 Thread starter #169 Ni tiimu 3 tu toka nchini Uingereza zilizowahi kupata ushindi kwenye dimba la Bernabéu: 2006: Real 0-1 Arsenal 2009: Real 0-1 Liverpool 2020: Real 1-2 Man City
Ni tiimu 3 tu toka nchini Uingereza zilizowahi kupata ushindi kwenye dimba la Bernabéu: 2006: Real 0-1 Arsenal 2009: Real 0-1 Liverpool 2020: Real 1-2 Man City
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 27, 2020 Thread starter #170 Katika mechi dhidi ya Lyon wazee wa Juventus waameshindwa kupiga shuti lililolenga goli. 🤣😅😅🤣
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 27, 2020 Thread starter #171 TBT la kibabe... Anatoka Kaka anaingia Rui Costa. Anatoka Lion anaingia Simba...
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 27, 2020 Thread starter #172 Mpaka sasa ni timu mbili tu zilizoshindwa kupiga shuti lililolenga lango la timu pinzani katika hatua ya mtoano wa ligi ya mabingwa ulaya msimu huu. ✘ Liverpool (8 shots) ✘ Juventus (14 shots)
Mpaka sasa ni timu mbili tu zilizoshindwa kupiga shuti lililolenga lango la timu pinzani katika hatua ya mtoano wa ligi ya mabingwa ulaya msimu huu. ✘ Liverpool (8 shots) ✘ Juventus (14 shots)
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 27, 2020 Thread starter #173
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 27, 2020 Thread starter #174
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 27, 2020 Thread starter #175 Thierry Henry Ndie mchezaji pekee katika historia ya Premier League kufunga magoli 20 na kutoa assists 20 ndani ya msimu mmoja. ❍ 2002/03 season ❍ 37 games ❍ 24 goals ❍ 20 assists
Thierry Henry Ndie mchezaji pekee katika historia ya Premier League kufunga magoli 20 na kutoa assists 20 ndani ya msimu mmoja. ❍ 2002/03 season ❍ 37 games ❍ 24 goals ❍ 20 assists
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 27, 2020 Thread starter #176
mgunga pori JF-Expert Member Joined Jul 23, 2016 Posts 4,092 Reaction score 4,896 Feb 28, 2020 #177 Gang Chomba said: View attachment 1370623 Click to expand... Mkuu huu mtihani Mie ni pirlo,del piero na mzee maldin Sent using Jamii Forums mobile app
Gang Chomba said: View attachment 1370623 Click to expand... Mkuu huu mtihani Mie ni pirlo,del piero na mzee maldin Sent using Jamii Forums mobile app
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 28, 2020 Thread starter #178 mgunga pori said: Mkuu huu mtihani Mie ni pirlo,del piero na mzee maldin Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa mwamba
mgunga pori said: Mkuu huu mtihani Mie ni pirlo,del piero na mzee maldin Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa mwamba
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 28, 2020 Thread starter #179
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Feb 28, 2020 Thread starter #180