Uchaguzi 2020 Fadhila za Lissu kwa majasusi wa kibepari na kisingizio cha uwekezaji nchini

Uchaguzi 2020 Fadhila za Lissu kwa majasusi wa kibepari na kisingizio cha uwekezaji nchini

Mchimwachimego

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
358
Reaction score
271
Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC.

Swali fikilishi+ Nani yuko nyuma yake+ wanalengo gani+ ili wapate nini+ ni kweli kwamba Lissu anapewa free luch au atalipa. Watu kama Lissu tuwaogope ni watiifu kwa mabepari na hawana lengo la kutupa uhuru wa kweli uliohubiriwa na baba wa taifa.
 
Kuwa mjinga sio kibali cha kukuruhusu kuleta mada JF za upotoshaji.

Wapi Lissu amesema asipochaguliwa kwa kura patachimbika?

Wapuuzi wakiachiwa kuandika kinachojaa kwenye akili zao watapotosha wengi na hatutakubali hali hiyo.

Tundu Lissu amesisitiza kuwa safari hii hawatakubali kuibiwa kura zao na sisi wananchi tunakubaliana naye.

Kasisitiza kuwa mshindi awe yeyote mradi iwe kwa idadi ya kura sio maamuzi ya wezi na matapeli maana nchi sio mali ya koo zao na familia.

Jee wewe na ccm mmepanga kushinda kwa wizi? Nami nakubaki kuwa safari hii #SASABASI hakuna kuibiana au goli LA mkono kisha kuchekeana chekeana.

Na mataifa ya nje hao hao wahisani au wakitukosoa tunawaita mabeberu wameshatoa matamko kuwa hawawezi kukubali nchi wanayoisaidia kukosa demokrasia.

Hivi acha upotoshaji
 
1. Mmempiga wenyewe Risasi 32.
2 .Mmempoka ubunge.
3. Mmemnyima matibabu.
4. Mmembambikizia kesi nyingi sana.
5.Mmeharibu sehemu ya Goti lake mguuni.
6. Mnamnyima Air time.
7. Mnamsingizia anawatukana matusi.

Tena awanyooshe kisawasawa.
Heko Pentagon.
Heko jumuia za kimataifa.
Heko Bunge la Marekani.
Heko Amsterdam.

TUNATAKA HAKI AMANI NA MAENDELEO.
 
Mtoa hoja unashangaza Sana.

hoja za Lissu zipo clear mshindi Halali atangazwe, uchaguzi uwe huru na wa haki hakutakuwa na shida, isipokuwa kukiwa na figisu hakitaeleweka Hadi haki itendeke.

sasa sijui tafsiri yako umeipata wapi.

vurugu ikitokea hata wewe hutaweza kuandika hapa Mimi na wewe na wengine tuseme tume itende haki tubaki salama.

wazungu wameshaaanza kusema na inaelekea tutakuwa Kama Zimbabwe tukipigwa sanction s
 
Asubuhi saa nne tayari keshalizwa Mbeligiji!

Hatuwezi kuwa na kiongozi kimvuli cha Mabeberu!
 
Kwani umeanza kufatilia siasa lini mkuu, mbona ni kauli za kawaida tu kwenye siasa hasa kipindi kama hiki cha kampeni, fatilia enzi za kina mrema,lipumba,mbowe, dr slaa, zitto ata ccm nao hutoa kauli za kishujaa kipindi kama hiki.
 
Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC.

Swali fikilishi+ Nani yuko nyuma yake+ wanalengo gani+ ili wapate nini+ ni kweli kwamba Lissu anapewa free luch au atalipa. Watu kama Lissu tuwaogope ni watiifu kwa mabepari na hawana lengo la kutupa uhuru wa kweli uliohubiriwa na baba wa taifa.
Andika kama mtu mwenye akili. Hili siyo jukwaa la wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani umeanza kufatilia siasa lini mkuu, mbona ni kauli za kawaida tu kwenye siasa hasa kipindi kama hiki cha kampeni, fatilia enzi za kina mrema,lipumba,mbowe, dr slaa, zitto ata ccm nao hutoa kauli za kishujaa kipindi kama hiki.
Kamwe vibaraka wasipuuzwe tuna taarifa zake nyingi kuwa anatumika na wamejiandaa kumsaidia ndio maana tumeona uchaguzi huu ugharamiwe na serikali.
 
NINA WASIWASI NA MODERATOR WA JAMII FORUMS SIKU HIZI WAMEHAMIA LUMUMBA. HAKIKA KAMA HII THREAD INGEKUWA PALE KWENYE JINA LA LISU LIMEWEKWA LA JIWE INGESHAFUTWA MAPEMA....ACHENI KUTUMIKA TUTAFUNGA ACCOUNT ZETU SASA HIVI
Vyombo vya habari vinavyoamini katika uongozi unaotaka nchi yetu iwe huru kiuchumi kamwe hawezi kukubaliana na kibaraka.
 
Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC...
Akili hizi ndo zimetufikisha hapa,wanaccm kuamini mwekezaji lazima awe mtu wa nje ya Tanzania
 
Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC...
Dogo! watanganyika tunamkubali na tutampa Kura,

hizo story zenu za mabeberu tupa kule

Nyie maccm mlipowapa mabeberu madini yote bure lissu alikuwepo?

Nyie maccm mlipouza wanyama, katibu mkuu wenu alikuwa anauza pembe za ndovu, mliuza mbuga ya loliondo kwa mwarabu,

Dogo! next time ukibalehe uje tena tungoee habari ya Tanzania na maajabu yake
 
Back
Top Bottom