Lisu anapaswa kuongea kwa jeuri, na kama kweli wazungu wataingilia mambo yetu tutawaunga mkono. Tumechoka kuongozwa kwa shuruti na chama kinachonajisi box la kura. Kwa sasa hapa nchini tunaona viongozi wa ccm wakiongea kwa jeuri kisa wanaweza kuitumia tume ya uchaguzi, na kisha kuagiza vyombo vya dola kulinda uhuru haramu, acha hao wazungu waje kama ni kweli tuanze moja.
Hizo propaganda za kizee mkawape watu wa huko vijijini wasio na uelewa wowote wa mambo. Mpaka sasa hao wazungu wanatudai deni la 40t+ na hatuna uwezo wowote wa kuwalipa. Kama kuna chochote wanataka kwanini wasitumie kisingizio cha hilo deni lao kukichukua, mpaka wasubiri Lisu awe rais? Au ccm ndio mnajiona mnaaminika sana kwenye mali za nchi hii? Muhuni mkubwa wewe.