Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wewe una tofauti gani na mtu ambaye ni zero brain anayewaza baba yake afe ili apate urithi bila kuuliza zilipatikanaje na alikuwa anaziendeshaje kabla ya kuombea mabaya,ni kipi cha muhimu unachokikosa katika taifa hili mpaka uombe njaa na ukijua nawe haitakuacha salama kamwe nakushauri kitu kama umechoka na amani iliyopo nenda Libya au Kongo au ikiwezekana nenda ulaya.
Huwa wahuni kama ww ni lazima mtapanick pindi mnapokutana na ukweli mchungu. Kudhihirisha kuwa umepanick, umeishia kuandika masentesi marefu yasiyo na koma wala nukta! Kwani nyie mnaonajisi box la kura, ni kipi mmekosa nchi hii mpaka mkae madarakani kwa shuruti bila ridhaa ya wengi? Hii unayoita amani sio amani, bali ni ukondoo unaolazimishwa kuvalishwa koti la amani. Kama ya huko Libya na Congo hukubaliani nayo, kipi kinawafanya mnajisi box la kura? Nenda ulaya ww maana umeshaiba hela nyingi za umma, ili ukapate nafasi nzuri ya kula hela za makondoo. Narudia tena, muhuni mkubwa ww.