Mchimwachimego
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 358
- 271
Kiongozi anayeogopa maadui zake hastahili uongoziEndeleeni kuwaita mabeberu siku wakiamua msije kusema hatukuwaambia.
Wakiamua nini?Endeleeni kuwaita mabeberu siku wakiamua msije kusema hatukuwaambia.
Andika kama mtu mwenye akili. Hili siyo jukwaa la wajinga.Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC.
Swali fikilishi+ Nani yuko nyuma yake+ wanalengo gani+ ili wapate nini+ ni kweli kwamba Lissu anapewa free luch au atalipa. Watu kama Lissu tuwaogope ni watiifu kwa mabepari na hawana lengo la kutupa uhuru wa kweli uliohubiriwa na baba wa taifa.
Nchi huru haiongozwi na kibaraka.
Kamwe vibaraka wasipuuzwe tuna taarifa zake nyingi kuwa anatumika na wamejiandaa kumsaidia ndio maana tumeona uchaguzi huu ugharamiwe na serikali.Kwani umeanza kufatilia siasa lini mkuu, mbona ni kauli za kawaida tu kwenye siasa hasa kipindi kama hiki cha kampeni, fatilia enzi za kina mrema,lipumba,mbowe, dr slaa, zitto ata ccm nao hutoa kauli za kishujaa kipindi kama hiki.
Vyombo vya habari vinavyoamini katika uongozi unaotaka nchi yetu iwe huru kiuchumi kamwe hawezi kukubaliana na kibaraka.NINA WASIWASI NA MODERATOR WA JAMII FORUMS SIKU HIZI WAMEHAMIA LUMUMBA. HAKIKA KAMA HII THREAD INGEKUWA PALE KWENYE JINA LA LISU LIMEWEKWA LA JIWE INGESHAFUTWA MAPEMA....ACHENI KUTUMIKA TUTAFUNGA ACCOUNT ZETU SASA HIVI
Akili hizi ndo zimetufikisha hapa,wanaccm kuamini mwekezaji lazima awe mtu wa nje ya TanzaniaNi wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC...
Tafuta clip ya pingamizi kwa rais,mwanza,arusha,mbeya na tunduma.Mtoa hoja unashangaza Sana...
Dogo! watanganyika tunamkubali na tutampa Kura,Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC...