Uchaguzi 2020 Fadhila za Lissu kwa majasusi wa kibepari na kisingizio cha uwekezaji nchini


Huwa wahuni kama ww ni lazima mtapanick pindi mnapokutana na ukweli mchungu. Kudhihirisha kuwa umepanick, umeishia kuandika masentesi marefu yasiyo na koma wala nukta! Kwani nyie mnaonajisi box la kura, ni kipi mmekosa nchi hii mpaka mkae madarakani kwa shuruti bila ridhaa ya wengi? Hii unayoita amani sio amani, bali ni ukondoo unaolazimishwa kuvalishwa koti la amani. Kama ya huko Libya na Congo hukubaliani nayo, kipi kinawafanya mnajisi box la kura? Nenda ulaya ww maana umeshaiba hela nyingi za umma, ili ukapate nafasi nzuri ya kula hela za makondoo. Narudia tena, muhuni mkubwa ww.
 
Toto Tundu mbona lipo tayari ni rais la wajinga wanaowasujudia wazungu ambao wanakufa kama nzi kwenye Corona tu!
 
Nawapongeza sana NEC kwa kutumia busara sana kumuacha huyu "kibaraka uchwara" aingie kwenye kinyanganyiro cha kugombea pamoja na kuvunja sheria za waziwazi. Muacheni ili wananchi kwa umoja wetu tutumie sanduku la kura ifikapo 28/10 ili hao akina Amsterdam & Co,. wajue kuwa hii nchi ni huru tangu 1961 na kamwe hatupangiwi nani awe rais wetu!
 
muulize bashiru na polepole kwanini wanataka kuubaka uchaguzi wa zanzibar Take a look at Kigogo[emoji1139] (Kigogo2014): https://twitter.com/kigogo2014?s=09
 
Lissu na Trippi hawawezi kufanikisha malengo yao, hii sio Zimbabwe hii ni nchi iliyokabidhiwa kwa Mungu siku moja kabla ya uhuru mwaka 1961.

Hao wenye nia zilizojificha kwa ufupi wasahau.
Mtajua hamjui mwaka huu dadeki!!😂😂
 
C
Ccm mtajua hamjui mwaka huu dadeki!!! Huyo ndo shujaa aliyeoponywa risasi 16 na Mungu Tundu Lissu
 
Huyu ni puppet wa mabeberu
Kwa hilo mwanaccm mwenzangu hapa kumbuka onyo tulishapewa siku nyingi na jumuia za kimataifa hatukubadilika sasa mpinzani wetu yaani Lissu kapata mbele ya kulialia na Mtoto anayelilia ziwa ndo anayenyonyeshwa zaidi. Kama tumekosa ushawishi ktk jumuia za kimataifa tusimwingize ktk Lisu aliyeokolewa na Mungu pia tukumbuke Mungu ana sababu na kila kiumbe chake
 
@Mchimwachimego usiwe na shaka mkuu, huu ni uchaguzi mwepesi sana kwa CCM kuliko watu wa humu wanavyofikiri, CCM inakwenda kushinda kwa ushindi mzito sana utakawaodhalilisha NI YEYE, wale waliomtuma na wale anaosema wanafuatilia uchaguzi huu
Labda mtashinda chato!!! Subiri mfundishwe mwaka huu dadeki
 
Cheap propaganda and idiocy at best.
 
. Lisu atauza nchi mkuu😀😀
 
Amepigwa risasi na wenyewe kina nani????

Yeye kama raia na msomi anayejua sheria kwanini asishirikiane na nyie mnaojua sawasawa hilo tukio ili apate haki yake???

Je, nia yake haswa kwa sasa ni kushika dola au kulipa kulipa fadhila huko anakupeleka taarifa au ni kulipa kisasi cha kupigwa risasi? Na anataka kulipa kisasi kwa nani haswa????

Je hao wanaojinasibu kusimama nae wana nia ya dhati ya kumsaidia au kuna maslahi mapana kwa nchi zao??

Amerika wanauawa watu zaidi ya 100 kila siku kwa kupigwa risasi kwa miaka sasa, mbona hawashughuliki nao wala hawapambani kumaliza Hilo tatizo na kuokoa maisha ya watu??? Tanzania kuna nini???

Hakuna mtanzania aliyefurahia Tundu kupigwa risasi, ni kitendo kilichoumiza wengi sana.....
Na pia John Pombe Magufuli na serikali yake wana njia nyingi na sahihi za kuongoza nchi zaidi ya kupigana risasi
 
Hatuhitaji kwa sababu yeyote mtu ambaye kwa mwenendo wake na kauli zake anaweza kuwa anatia shaka kuwa analindwa na mabeberu au anatumika kwa namna moja au nyingine na nguvu toka nje ya nchi. Je, atalipa fadhila gani kama atapewa dhamana ya kuongoza?. Inahitaji kuliangalia hili kwa " jicho" la tatu. Zambia walifanya uamuzi ambao umewapelekea "kujiuza" kwa taifa moja.
 
Kama unatenda haki, hofu ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…