Fadlu Davis; Yanga wana ubora kwenye match kubwa kuliko sisi

Fadlu Davis; Yanga wana ubora kwenye match kubwa kuliko sisi

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
"Niwe tu muwazi bado Nahitaji Mchezaji mmoja mwenye X Factor kwenye eneo la ushambuluaji, najua tumepata sapoti kubwa Sana kutoka kwa Rais Mo Dewji na mchango wake Msimu huu umekuwa mkubwa Sana"

"Natumai sasa tunapoelekea mwishoni mwa usajili Jayrutty anaweza kutusaidia kumpata Mchezaji huyo mmoja mkubwa ambaye anaweza kutupa utofauti kwenye eneo la mwisho"

"Unakumbuka Baadhi ya mechi ngumu Msimu uliopita tulikuwa tunakosa Mchezaji mkubwa ambaye anaweza kukupa hizo x Factor, mechi kama ya Fainali, mechi dhidi ya Yanga tulikuwa tunakosa Mchezaji kama huyo"

"Na unajua tunahitaji kuwaovertake Yanga ambao unajua ni kwa Kiasi Gani wanakuwa Bora kwenye Mechi kubwa, lakini pia tunakazi kubwa ya kufanya kimataifa" -

Fadlu Davs Kocha wa Simba akizungumza na Azam TV baada ya Mchezo wa kirafiki kati ya Simba SC dhidi ya Wadi Degla.
 
Uwezekano ni kuwa kwa msimu huu usajili utakomea hapa, kama hana huyo x factor amtengeneze.
Mambo ni mazuri msimu huu Msimbazi
IMG_20250830_170845.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Anajenga timu miaka mingapi
Mkuu kweli sio miaka tuu.
Kuna wachezaji wenye umri mkubwa pale Simba zaidi ya 5 Tena kikosi Cha kwanza, Tena wa mkopo.
Msimu 1 tuu au 2 hao washachoka na kuondoka
 
Kwa mwana SIMBA ama YANGA Kama unajua kuwa uko na pressure nenda uwanjani ukiwa na matokeo ya kufungwa. Utanishukuru baadae
 
Back
Top Bottom