Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Kama ni kweli lakini isije ikawa ni kuuwa raia wa kawaida na propaganda kutengenezwa
Waache wapate sifa kidogo kabla kaka zao hawajaenda kusafishaNimekumbuka M23 [emoji119][emoji119][emoji119] mliinua mikono na kucha [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kabisaa mkuu, maana Kaka zao wanawajua vizuri week moja tu inatosha kuunyamazisha msitu yaaniWaache wapate sifa kidogo kabla kaka zao hawajaenda kusafisha
Kwani umeona Kobazi?uwiii.... ni vita vya kidini au??
Nadhani SADC inazinduka inaanza kuelewa majuku yake halisi.Hongera Filioe Jacinti Nyusi Mwenyekiti wa SADC,Raisi wa Msumbiji,umeamua hasa kusafisha nyumba.Maana nashangaaga sana,majeshi ya UN yanapelekwa congo lakini hakuna linaloonekana ,zaidi ya wanajeshi wake kupukutika tuu.anayewafadhali ataendelea kupata hasara.
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌jamaa naona sasaivi watakuwa wanafaidi mabikira 72 huko jehanum.
nani, DJ?Waende kusaidia na nchi fulani nasikia ina "gaidi" aliyekuwa anakula njama za kuua viongozi wa serikali🤣
Nilisikia habari tu, mambo yamekuwa mengi nimesahau ni nani🤣nani, DJ?
lakini tunashukuru kwa kujitolea kwao, na bila shaka watapata uzoefu mkubwa kupigana na aina za watu kama hao. ni advantage kwao. hao wa del delgado wanaonekana tu mbona, na waoga balaa, ila kwenye mapicha ya yutube wanajifanay kutisha mno kumbe hata boxer hawavai mbulura hawa.RDF ngoja wajipeleke mbelembele na viSMG vyao lakini wajue wanapigana na watu wasioonekana
sasa na ninyi mnafeli wapi? Madagascar wamekuwa na rais DJ na uchumu unazidi kushuka, yeye anafikiri yupo club, na ninyi bongo mnataka kufanya makosa? tangu lini dj akapata uwezo kuongoza nchi? tena dj aliyekimbia shule.Nilisikia habari tu, mambo yamekuwa mengi nimesahau ni nani🤣
Biashara za watu hizo sheikhe ,mpaka unaona sadc anaelekea huko jua kuna maslah soon hii inaenda kua mission kamili kama afrika ya kati au kongo na ile ya sudan ilioisha so tutegemee mengiNadhani SADC inazinduka inaanza kuelewa majuku yake halisi.Hongera Filioe Jacinti Nyusi Mwenyekiti wa SADC,Raisi wa Msumbiji,umeamua hasa kusafisha nyumba.Maana nashangaaga sana,majeshi ya UN yanapelekwa congo lakini hakuna linaloonekana ,zaidi ya wanajeshi wake kupukutika tuu.anayewafadhali ataendelea kupata hasara.
nimeona kitabu kimezungushiwa alamaKwani umeona Kobazi?