Fahamu aina 14 za hasira walizonazo wanawake

Fahamu aina 14 za hasira walizonazo wanawake

Ongezea na hii!

Mwanamke Mwingine akikasilika anaenda kuchepuka tena anagawa yote! Tena akimkuta jamaa mshenzi anamgaia hadi mtandao! Ndipo atapoa ( Wnaitwa wanawake visasi)
 
Mwanamke yoyote ni rahisi sana kukwazika yani wana hasira za karibu sana,

Halafu kwa upande wangu huwa nawapenda wanawake wenye maneno mengi wakiwa kwenye ugomvi huwa nawapenda maana wakikasirika wanabwabwaja maneno mengi bila breki matusi kejeli zote hawa huwa naona wanatoa sumu mwilini/myoni kuliko wale wanaobaki na vitu mwilini/moyoni
 
Pia napenda kumplease mwanamke aliekasirika huwa inakua so emotional na hivi wanapenda kubembelezwa basi ni rahisi sana ku win moyo wa mwanamke, shida mwanaume ukitumia mabavu wakati wa ugomvi ndiyo unaharibu [emoji1787][emoji1787]
 
Pia msisahau linapotokea jambo la ugomvi msiache ugomvi ulale [emoji13], solve ugomvi ukiwa bado wa moto
 
No 2 na 6 ni hatari sana kwa mwanaume ndio uchangia.
1.wanaume kukesha bar kuchelewa kurudi home.
2.Kutafuta nje vimada
3.upungufu wa nguvu za kiume
4.vifo vya mapema vya wanaume
5.Presha,kiharusi,na magonjwa ya moyo kwa wanaume.
6.Kukosena kwa baraka nyumbani.
 
Hasira ukaa moyoni mwa mtu mpumbavu. Mtu smart hawezi kutawaliwa na hasira uzitawala
 
Namba 5 hatari,nko nae pia huwa analazimisha kugegedwa ili apunguze hasira
 
Mimi nikiwa na hasira nashindwa kuongea, machozi tu yanatiririka na nakua najiuliza mambo mengi hivi why umeamua kunifanyia hivo, umenionaje? Umenidharau ama nk. Ila dk 0 hasira zinaisha kabisa na naanza kukusemesha tena😜 sasa ukinibembeleza ndiyo kabisaa hasira haikai.
 
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!


2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!

Hujawajua wanawake bado😅😅😅😅 Hizo hasira zote anaweza kuwa nazo mwanamke mmoja kwa wakati mmoja.

Kinachofanya hasira moja ndio iwe juu ni mazingira, yaani ni nani kamuudhi na anafasi gani kwenye moyo wake, na aina ya maudhi.....

Uko namba gani hapo
mama D

Ova
Kama mimi nikikasirika nahusika na namba 1, 13 na 14 japo kuna na vingine huwa nafanya havipo kwenye list. Ilakunifikisha hapo lazima na mkasirishaji awe amedhamiria kwa kweli..... tena ajitume haswa
 
Bora ya mwanamke anaenuna kuliko wa mdomo makelele utatamani ushinde bar
 
Kuna mmoja nlkua nae, Nilimkasirisha akanisaliti licha ya kumuomba msamaha na kubembeleza (huwa niko dhaifu sana kukimbilia kuomba msamaha kwa mwanamke nikimcrash) ila ilishindikana, Usaliti wake ndiyo ikawa ticket hiyo akaniacha baada ya miezi kadhaa ananitafuta anajutia eti zlkua ni hasira tu.

Kanikuta na mimi ndiyo kabisa kichwa kina chaji za userious wa maisha hata sielewi ni lugha gani anaongea aloo kumbe alichokutana nacho huko ni [emoji91] mkali, kidogo jamaa yake huyo amuue...
 
Back
Top Bottom