Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How do you control your anger? I wish niweze kua hivyo nipe mbinu.Hasira ukaa moyoni mwa mtu mpumbavu.Mtu smart hawezi kutawaliwa na hasira uzitawala
Mmezikubali hizi zenu kwanzaVipi kuhusu wanaume hasira zao zipoje mkuu
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
Kama mimi nikikasirika nahusika na namba 1, 13 na 14 japo kuna na vingine huwa nafanya havipo kwenye list. Ilakunifikisha hapo lazima na mkasirishaji awe amedhamiria kwa kweli..... tena ajitume haswa
Mpelekee mashine hadi aongee.Ninaeishinae ana hiyo namba 3 [emoji16]
Inanipa shida kudeal nae
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Kha!kha!,hao sasa hawafai kabisa.Wengine wakikasirika wanakimbilia kugawa papuchi nje
2 na 141. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
Huyo hafai aiseeWengine wakikasirika wanakimbilia kugawa papuchi nje
Hiyo namba 8 jekama na wewe unatafuta sababu ya kumwacha?1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!