Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi uiache besti. 😂 Mie nilikuwaga nayo nikiwa kabinti na ilijua kunitesa hasa ila sasa nishakomaa huwezi nikuta nalia eti kisa nimekasirika.Mm ni namba moja
Hivyo akitoka hapo hasira zimeisha ama?Umesahahu hiii, ..... mwengine akikasirika anakupa mbususu mapaka ukomeeee humo humo!! hutoki ndani anakubana na mapaja mpaka ukome
Nitajaribu kama ufanyavyo,japo nimejaribu nimeshindwa nikikasirika nalia sana ndio napoa na nispolia naumia nafsi sana siwez vumiliaJitahidi uiache besti. [emoji23] Mie nilikuwaga nayo nikiwa kabinti na ilijua kunitesa hasa ila sasa nishakomaa huwezi nikuta nalia eti kisa nimekasirika.
Ninachofanyaga mimi (japo hii imekaa kiimani zaidi) huwa nime download audio za juzuu kadhaa kwenye simu basi nitaweka quran hapo kisha kama nina kashughuli kangu naendelea kukafanya huku nasikiliza basi hapo haichukui muda narudi normal.
Hivyo kwa sasa huwa sina hasira za kuendelea kwa kweli.
Jitahidi hamna lisilowezekana.Nitajaribu kama ufanyavyo,japo nimejaribu nimeshindwa nikikasirika nalia sana ndio napoa na nispolia naumia nafsi sana siwez vumilia
Insha Allah[emoji120]Jitahidi hamna lisilowezekana.
Mkuu naomba niwe mfariji wako please. I'm certified ComforterNitajaribu kama ufanyavyo,japo nimejaribu nimeshindwa nikikasirika nalia sana ndio napoa na nispolia naumia nafsi sana siwez vumilia
Mahala??Umecopy mahala?!!!
Yaani Best ina kwisha kabisaaa!!! km ulikuwepo! siyo yanaisha tu yanapotea mirere yote amina!! kama siyo yeye!! na ugali anapika kwa raha zake!!! mnasonsomela kwa kwenda mbele! ke ukiwajulia raha sana,,, huachi ng'ooo!Hivyo akitoka hapo hasira zimeisha ama?
Duuh!! Ama kweli besti , hasira zetu zinakuja na kuisha kwa njia nyingi.Yaani Best ina kwisha kabisaaa!!! km ulikuwepo! siyo yanaisha tu yanapotea mirere yote amina!! kama siyo yeye!! na ugali anapika kwa raha zake!!! mnasonsomela kwa kwenda mbele! ke ukiwajulia raha sana,,, huachi ng'ooo!
No.7 hasira zinahamia huko.. utataja mpaka majina ya mizimu yenu1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra!
Mbwa?Namba kumi na nne(14),kuna demu wang mmoja hv anasifa hiyo.
Siku moja nilimuhitaji geto,akasema anakuja lkn yupo siku za htr hivyo nitumie kinga,mi nikasema fresh
Kweli bana,nikafuata ndomu kwa mwanangu hv,nikapata
Muda kidg mtt akafika,nikamtomasa sa ile nataka kuweka akanikumbusha tena,ah mi kamwambia takojoa njee[emoji1787][emoji1787]
Ebana,kapiga tako kadhaa wazungu hao,duh cinikajisahau,kaziachiaa chwaaaa[emoji3][emoji3]
Duh aloo o! Yule mwari aliiniangalia usoni afu akaanza kucheka[emoji28]
Mi kajua kachukulia poa ha kumbe kamaind ile mbaya,lkn hakuonesha sababu alikua akicheka na hiv mpk leo hajajibu mesej yangu[emoji24][emoji24]
Duh mi ni mbwa[emoji2305]
Ile akikupa tu hasira zake zote kwishney🤪Hivyo akitoka hapo hasira zimeisha ama?