Fahamu aina 14 za hasira walizonazo wanawake

Fahamu aina 14 za hasira walizonazo wanawake

Mm ni namba moja
Jitahidi uiache besti. 😂 Mie nilikuwaga nayo nikiwa kabinti na ilijua kunitesa hasa ila sasa nishakomaa huwezi nikuta nalia eti kisa nimekasirika.

Ninachofanyaga mimi (japo hii imekaa kiimani zaidi) huwa nime download audio za juzuu kadhaa kwenye simu basi nitaweka quran hapo kisha kama nina kashughuli kangu naendelea kukafanya huku nasikiliza basi hapo haichukui muda narudi normal.

Hivyo kwa sasa huwa sina hasira za kuendelea kwa kweli.
 
Jitahidi uiache besti. [emoji23] Mie nilikuwaga nayo nikiwa kabinti na ilijua kunitesa hasa ila sasa nishakomaa huwezi nikuta nalia eti kisa nimekasirika.

Ninachofanyaga mimi (japo hii imekaa kiimani zaidi) huwa nime download audio za juzuu kadhaa kwenye simu basi nitaweka quran hapo kisha kama nina kashughuli kangu naendelea kukafanya huku nasikiliza basi hapo haichukui muda narudi normal.

Hivyo kwa sasa huwa sina hasira za kuendelea kwa kweli.
Nitajaribu kama ufanyavyo,japo nimejaribu nimeshindwa nikikasirika nalia sana ndio napoa na nispolia naumia nafsi sana siwez vumilia
 
Hivyo akitoka hapo hasira zimeisha ama?
Yaani Best ina kwisha kabisaaa!!! km ulikuwepo! siyo yanaisha tu yanapotea mirere yote amina!! kama siyo yeye!! na ugali anapika kwa raha zake!!! mnasonsomela kwa kwenda mbele! ke ukiwajulia raha sana,,, huachi ng'ooo!
 
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!

2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!

3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra!
No.7 hasira zinahamia huko.. utataja mpaka majina ya mizimu yenu

No. 14 na kicheko hakiniishi

Ila huwa inaanza iyo 14 ndo napopatia nguvu za 7😂😂😂
 
Hao wa namba 14 n watu wa visasi balaa...
Imagine mtu akikasirika anacheka af anakuongelesha kwa sentensi nusunusu....

Utaskia Yaani ww mwanaume......(anaishia hapo af anatabasamu, machoz kwa mbali af anaishia kusema daaaah, aya bana[emoji23][emoji23])...

Ukiona hv lala mbele, hamna usalama apo
 
Umewasahau ambao wakikasirika hugawa mbususu kwa majirani
 
Namba kumi na nne(14),kuna demu wang mmoja hv anasifa hiyo.

Siku moja nilimuhitaji geto,akasema anakuja lkn yupo siku za htr hivyo nitumie kinga,mi nikasema fresh

Kweli bana,nikafuata ndomu kwa mwanangu hv,nikapata

Muda kidg mtt akafika,nikamtomasa sa ile nataka kuweka akanikumbusha tena,ah mi kamwambia takojoa njee[emoji1787][emoji1787]

Ebana,kapiga tako kadhaa wazungu hao,duh cinikajisahau,kaziachiaa chwaaaa[emoji3][emoji3]

Duh aloo o! Yule mwari aliiniangalia usoni afu akaanza kucheka[emoji28]

Mi kajua kachukulia poa ha kumbe kamaind ile mbaya,lkn hakuonesha sababu alikua akicheka na hiv mpk leo hajajibu mesej yangu[emoji24][emoji24]

Duh mi ni mbwa[emoji2305]
 
Mbwa?
 
Back
Top Bottom