Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo kasema hatashare vitu vya ndumba bali atashare elimu ya kawaida tu
Mambo mengine tunapotezeana muda tuPesa pekeake, mengine ni ushubwada[emoji23]
Sijawlezea na sitakaa nielezee labda mtu akasome kwenye huo uzi wa rakims
Ni pro Tapeli..na mchawiRakims ni mchawi, tena ni mchawi wa "majinn"--- anao uchawi unaoitwa majinn.
Mimi nilimwambia unitupie hilo jinn akasema nimpe majina halisi ya Wazazi wangu na jina langu, nikampa akashindwa kunidhuru. Na ikathibitika vitu hivyo ni UONGO NA UTAPELI MTUPU🤣🤣🤣
'Mganga hajigangi'.Daah japo nayajua mambo haya ila sina gal.. I'm guiding others to the treasure that i can't afford...
Confusion
Ila kama unajua mbinu flani za kukupatia pesa ukizifanya ukashindwa kupata pesa..usiache kuambia wenzio mbinu hiyo. Labda muda wako bado eti..'Mganga hajigangi'.
Nimesoma yote vile sikutaka kukwoti sababu ni ndefu, nimeshangaa hapo mwanzoni kwenye utangulizi kuwa una utaalamu wa ndumba
Kuwahi siti hizo ni mambo zenu new comers
Ndio maana nakupenda Mkwe.Ila kama unajua mbinu flani za kukupatia pesa ukizifanya ukashindwa kupata pesa..usiache kuambia wenzio mbinu hiyo. Labda muda wako bado eti..
Ndio maana siwezi acha kushea vitu hivi nifaamuvyo japo kwangu havifanyi kazi.
Rakims ni mchawi, tena ni mchawi wa "majinn"--- anao uchawi unaoitwa majinn.
Mimi nilimwambia unitupie hilo jinn akasema nimpe majina halisi ya Wazazi wangu na jina langu, nikampa akashindwa kunidhuru. Na ikathibitika vitu hivyo ni UONGO NA UTAPELI MTUPU🤣🤣🤣