Kulimo cha mkonge kilianza wakati wa utawala wa Ujerumani, Tanganyika ni moja ya wazalishaji wa kubwa wa mkonge kwa enzi hizo. Baada ya kushindw vita ya WWI, na utawala kuwa chini ya Waingereza, mashamba mengi ya mkonge yaliuzwa. Karimjee Jivanjee ni Bashite ya wafanyabiashara walionunua...