Fahamu haya kama unajiandaa na ndoa au tayari upo katika ndoa

Fahamu haya kama unajiandaa na ndoa au tayari upo katika ndoa

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
★1. Ukitaka ambacho hakijamilikiwa na mtu yoyote ni lazima ufanye jambo ambalo halijafanywa na yoyote.

★2. Mungu akitaka kukubadili hukuletea mtu na shetani akitaka kukuangamiza pia huleta mtu.

★3. Bora Uishi mwenyewe kuliko kuishi na mtu ambaye si sahihi katika maisha yako.

★4. Kuoana kabla ya kuwa marafiki ni kama gari bila mafuta hamfiki popote.

★5. Aina Tano za wanaume wakuepuka.
[emoji654]Mlevi
[emoji654]Wazinzi
[emoji654]Wagomvi
[emoji654]Wavivu
[emoji654]Wachawi
★6. Aina 5 za Wanawake wa kuepuka.
[emoji654]Walevi
[emoji654]Wazinzi
[emoji654]Wachawi
[emoji654]Wasiotii
[emoji654]Wagomvi

★7. Maneno matatu (3) yanayojenga Amani ni:
[emoji654]Nakupenda
[emoji654]Samahani
[emoji654]Asante

★8. Usiweke kipaumbele chako kwa muonekano na kwamba hutooa/Kuolewa na Mtu Mwenye sura mbaya Bali fahamu kila kitu ni Matunzo.

★9. Asili ya Mikono inayojari ni Moyo Unaothamini na Kujari.

★10. Usioe / Kuolewa na Pesa au Mali , Oa / Olewa na mtu maana Pesa au Mali hufirisika lakini UTU Hudumu milele.

[emoji815]Mwenyezi Mungu Akubariki sana
 
Kungwi umejitahidi bt ujue ndoa haijawahi pata fomula, chakushangaza zaidi nyie akungwi ndo mnaongoza kuachika/kuachwa
 
Mkuu mapenzi ni freestyle

Hakuna kanuni wala sheria,, wala guideline yoyote... Ni mtindo huru..

Alisikika boss wa TFF akisema
 
Kweli mapenzi upofu, mwenzetu ana macho ya bandia......
 
Stori nzuri, ila tofautisha R na L ili stori ivutie zaidi
 
Back
Top Bottom