Fahamu jinsi ya kuanza biashara kwa mtaji mdogo (Mfano: Milioni 1)

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Habari za wakati huu,

Ni matumaini yangu kwamba unaposoma uzi huu unatamani kuanzisha biashara yako mwenye.Katika kuandika uzi huu nimefanya assumption kadhaa ikiwamo kwamba wewe unajua kusoma na kuandika tu,Hauna ujuzi wowote ule ambao unaweza kuufanya na unaisha katika eneo ambalo lina watu.

Kama nilivoandika katikautangulizi mtaji wako ni milioni moja tu.Je unawezaje kuanzisha biashara kwa mtaji huu?Endelea kusoma.

Kama mtaji wako ni Milioni 1,Unatakiwa uanzisha biashara ambayo itatumia kiasi cha 25% hadi 75% ya huu mtaji wako yaani kati ya 250,000 hadi 750,000 na usijipe moyo kwamba uongoze zaidi ya 75% ila kama unaweza kupunguza chini ya 25%ni sawa.Kumbuka lengo la kuhakikisha hivi ni ili ujipe room ya kufanya scale up kwa kuendana na demand na pia kuepuka kufungia chini mtaji wako kwa kuwa na inventory kubwa ambayo haizunguki.Sasa tunaanza na hatua zetu 10 za kuanzisha biashara ya mtaji wa milioni 1.

  1. Kwanza tuliza akili uangalie watu wengi hapo wanapataje pesa zao na wanazitumiaje.Ninachotaka ujue ni Primary source ya Pesa katika hilo eneo.Jiulize Je Pesa inayoingia kutoka nje ya hilo eneo inatoka wapi na Pesa inayotka kwenye hilo eneo inaenda wapi.Unaweza jua hili kwa kunagalia bidhaa na hudma zinaoingizwa kwenye eneo hilo kutoka nje na pia kuangalia bidhaa na huduma zinazoenda nje ya eneo hilo.Pia unaweza anagalia bidhaa na huduma ambazo zinazalishwa na kutumika katika eneo hilo hilo.Lengo la kufanya hivi ni kufahamu value chain ya eneo lako.
  2. Baada yakuufahamu mnyororo wa thamani jiulize swali kuhusu urahisi au ugumu wa kuingia katika hilo soko.Kwa mfano unapotaka kufanya biashara ya mtaji wa milioni moja jiulize ni watu wangapi ambao wanaweza kupata kiasi hicho cha mtaji,ni watu wangapi wanaweza kufanya aina hiyo ya biashara.Hii itakusaidia kuona kiwango cha ushindani na changamoto nyingine.Kumbuka kadiri biashara inapokuwani rahisi kwa mtu yeyote kuifanya basi pia ni ngumu kutengeneza faida kubwa katika biashara hiyo kwa sababu ya sheria za soko.
  3. Hatua ya tatu ni kuchagua uingie katika biashara gani,Hapa kuna mambo mawili ya kuangalia ya kwanza jiulize kuhusu Gharama ya FURSA(Opportunity Cost) Je ukiingia katika biashara fulani je utapoteza fursa gani nyingine ?Jambo la pili ni kuangalia urahisi wa kuingia na kutoka.Mfano,Kuna biashara ambazo kuingia na kutok ni gharama kubwa sana.Na kuna biashara ambazo kuingia na kutoka ni rahisi sana.
  4. Hatua ya tatu ni kujipima wewe mwenyewe kwa kujiuliza maswali kama vile,Malengo yako ya kifedha,changamoto zako za kifedha,Uwezo wako binafsi,Uzoefu wako binafsi,Mahitaji ya kiujuzi/kielimu.Hapa utajipima uwezo wako binafsi kwa kuzingatia fursa au aina ya biashara unayotaka kufanya.Mfan ukitka kufungua biashara ya spea za magari wakati hauna ufahamu kabisa wa magari unaweza kupata unanua aina ya vifaa ambavyo havipo sokoni na kuviweka dukani kama vile kununua spea za peogout au Magari ya kimarekani kwa wingi wakti hata magari yenyewe hujawahi kuyaona.
  5. Hatua ya kwanza hadi ya nne utafanya bila kuzungumzana mtu yeyote bali utakuwa unaangalia na kutafakari mwenyewe.Hatua ya tano ni kuzungumza na wateja.Unaweza kutaka kufahamu changamoto zao,bidhaa zao wanapata wapi,kwa gharama gani,zina faida gani kwao,mbdala wake ni nini?n.k.Ni muhimu sana uzungumze na wateja iwe kwa mazungumzo rasmi au stori tu za kijiweni ilani lazima uzungumze na wateja
  6. Hatua ya sita ni kuzungumza na suppliers wako(Wanaokupatia bidhaa au huduma)hawa ni pamoja na whole salers,manufacturers,taasisi za fedha,ofisi za serikali n.k.Kumbuka unachotafuta ni fursa hivyo hakikisha unazo taarifa sahihi.Hii itakusaidi pia kujua gharma za uendeshaji pamoja na faida
  7. Hatua ya saba ni kuandika andiko(Business plan)Haijalishi biashara yako ni ndogo kiasi gani hakikisha unaiwekea andiko.Taarifa ulizokusanya hapo juu zote ni seheu ya andiko lakini pia utaongeza makadirio ya mapato na faida pamoja na gharama za uendeshaji.Kumbuka hii ni biashara yako wewe.
  8. Hatua ya nane ni kufanya Market Test Run.Hii ni hatua ya muhimu sana.Chagua bidhaa au huduma chache uzipeleke sokoni kisha uangalie namna ambavyo zitapokelewa. Hakikisha kila mteja ambaye hatanunua unamuachia mawasiliano yako na kuchukua ya kwake.Pia hakikisha unafanya hivyo kwa watakaonunua.Hakikisha pia wale ambao hawatanunua kwa nini hawajanunua.Je ni bei, ubora au nini?
  9. Hatua ya TISA ni kufanya evaluation ya UJUMLA kwa kutumia Market TEST RUN.IWAPO bidhaa zako ulizouza zimeuzika zote ndani ya muda uliotarajia basi unaweza sema soko bado halijawa saturated so unaweza kuingia,Ikiwa zimeuzika ndani ya muda wa kati basi ni semi saturated market na ikiwa imetumia muda mrefu basi ni saturated market ni iwapo hujauza kabisa basi ni super saturated market.

    Kulingana na majibu ya hatua hii unaweza kubadili bidhaa na kurudia market run au unaweza kunaza hatua upya utafute aina nyingine ya biashara au kama una ujasiri unaweza kuingia kwa gia kali kama ya kushusha bei ili utikise soko.
  10. Hatua ya kumi na ya mwisho ni kuanza biashara ambapo unapaswa kujipa katia ya miezi 6 hadi mwaka ili kupima iwapo biashara inalipa kabla ya kufanya uwekezaji mkubwa zaidi.

Karibu tujadili zaidi hizi nadharia za biashara huku tukifahamu kwamba katika uhalisia mambo yanaweza kuwa magumu zaidi au tofauti zaidi lakini mwisho wa yote unaweza anza kwa milioni moja na ukafanikiwa
 
Habari za wakati huu

Umeandika vizuri lakini hujaonyesha Milion moja inahusikaje kwenye andiko hili, maana umetoa takwimu Kwa Percentage maana yake haihusiki na 1M tu Bali ni kwa mtaji wowote ule. Ulitakiwa site biashara moja yenye thamani ya milioni moja na uizungumzie
 
Mkuu,Nimekuelewa.Asante kwa mrejesho
 
Dah haya madini umetupatia bure kbs[emoji3064]
 
Je biashara yoyote lazima ufanye market test,? Vp kuhusu zile za uzalishaji ambapo mpaka miundombinu ya uzakishaji ikamilike ambapo utakuwa tayari umeshaanza uwekezaji.

pia Kuna biashara nyengine ni ngumu kupata taarifa za Siri ya biashara kutoka Kwa wazalishaji wengine au wateja au wauzaji. Je hapo utatumia mbinu gani
 
Wasilisho ni zuri!
Huku field hizo hatua haziendi kwa mtiririko huo na wkt mwingine zinatumika 1 ama 2 tu!
Watu wanatoboa1
 
Back
Top Bottom