Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Wadau naombeni kujua, hizi smart TV kwenye matumizi ya internet bundle (mb) inakuaje? Nazo inakuwa na speed zinazotofautiana?
Ubora wa hisense upoje?Bei kali: Sony, LG, Samsung
Bei rafiki: Hisense, TCL
[emoji23][emoji23][emoji23]nashangaa watu wanashoboka na smart wakati balaa la bundle tz linafahamika kwamba ni anasa.Kama una bundle la mawazo achana nazo. GB 5 au 10 kwa siku kwa kuangalia movie tu ni jambo la kawaida.
kwa uelewa wangu mdogo naona Iko vizuri basically..picture definition is fineUbora wa hisense upoje?
Umesahau hii: Kuliko kutumia gharama kwa kununua Smart Tv angalau unaweza kununua Tv ya kawaida (isio smart) then ukanunua na Tv box
Nop bado sijanunua PS/Xbox though nina mpango wa kuvuta kitu cha PS4 Pro (with 4k ) nipige game kwenye kitu changu cha LG Nanocel TV 55'Unacheza game mkuu?
Unatumia hiyo TV? Au uliona kwa jirani? Jibu lako litakusaidia, nataka kununua lakini sina uhakikakwa uelewa wangu mdogo naona Iko vizuri basically..picture definition is fine
Cz matumizi ya TV kwa wengi ni yale yale
News ,entertainment,usb,hdmi nk
Nabadili gia anganjI'm using LG Nanocell Tv (a.k.a Super UHD) inch 55. Nilichukua kwa 2.9 million
Ile siku nanunua nikiangalia ile hela yote nilivyoishikilia mkononi ilivyo nyingi mpaka roho ikaniuma. Ila nikafumba macho!
I like quality things, the Tv is realy beautiful in appearance and the quality is good.
Wanaitwaje? Nataka niwatafuteKuna jamaa wanauza tv used from uk wapo insta
Kuna mawe wanayo sio poa...Ukikuta sony basi sony yenyew,ukikuta jvc basi jvc kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Electronic_Tz (@electronics_tz1) • Instagram photos and videos
Natamani smart ila kuna jamaa anasema smart sio nzuri kwa familia , niko njia pandaKabla sijafanya maamuzi niliutembelea huu uzi, nikapata uelewa...Chap nikaingia dukani kwa mbwembwe kama zote (yaani kama mjuvi wa technolojia[emoji28]) na kuvuta samsung smart TV 50" 4K.
Shukrani Perimeter
Hukumuuliza ubaya wake kwa familia ni upi?Natamani smart ila kuna jamaa anasema smart sio nzuri kwa familia , niko njia panda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ipo pale wewe unapotaka kuingia u-tube huku mkeo na watoto wanataka Tamthilia ya Sultani, cha msingi mpeane muda tu kwani lazima muda wote uwe unatumia mtandao?Natamani smart ila kuna jamaa anasema smart sio nzuri kwa familia , niko njia panda
Sent using Jamii Forums mobile app