Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Aisee, ko wazee wa brazil,puno, Hondura na Goba huko online hawafiki???
Karibuni Europe online na offline
mjumbe wazee wa puno wameshindwa kbsa kutoka makolongoni pale yanahuaya.😂 😂 tumesha tuma magreda kwenda kuwa kwamua hata huko kwenye matheruji siberia na puno peru na huko brasil sijui mvua bado zinanyesha maana si kidongo chekundu hicho. ila soon tutakuwa nao TU
 
[emoji16][emoji1787][emoji1787] dongo jekundu kama kigoma vile

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
chuma kama chuma
 

Attachments

  • ets2_20200802_082623_00.png
    505.1 KB · Views: 4
  • ets2_20200802_082630_00.png
    438.4 KB · Views: 4
Hatimaye nimedownload version mpya ya Eurotruck Simulator version 1.38.....Naomba kujua hizo mods zaweza kussuport iyo version mpya..maps,,road

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…